King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
We are not doubters
- Nitakua wa Mwisho kuamini kama Aston Villa anaweza kumfunga au kutoa sare na Man City.
- Pia ni kitu kisichowezekana kwangu kupiga Ramli kwenye mpira kwamba Villa Amfunge City ili Tuwe Mabingwa.
- Baada tu ya mechi yetu na Man City ya Round ya pili niliamini kwa asilimia 100.00% kuwa Man City ndiyo Bingwa na wala sihitaji mjadala kwenye hili.
- Ninachokiona ni kuwa wale wanaopiga Ramli Villa Amfunge City ni kwamba wamebeba False Hope ili waje Wamtukane Gerrard na Coutinho tu kwa kushindwa kufanya kazi iliyotushinda sisi wenyewe.
When quadruple dreams come to an end.......
Wewe mkimbizi rudi team yakoNyie vishingo Cha kuwashauri ombeeni tu mshinde game yenu, Kama mnavyosema lolote linaweza kutokea sisi city kufungwa ndivyo hata nyie linaweza kutokea kufungwa, msiegemee sana kumuombea city afungwe wkt kwenu hamjafunga mlango
kwahiyo wangempata angecheza hiyo fainali.Madirid wamemkosa Mbappe mutaweza kumpigia hiyo tarehe 28 kweli?
Asante kwa kua saizi wewe ndo unachagulia watu timu za kushabikia. Ila ukweli ni kwamba fungeni kwanza mlango wenu kabla kuangaika na wa mwingneWewe mkimbizi rudi team yako
maneno ya mwenye HEKIMA nyingi .
- Nitakua wa Mwisho kuamini kama Aston Villa anaweza kumfunga au kutoa sare na Man City.
- Pia ni kitu kisichowezekana kwangu kupiga Ramli kwenye mpira kwamba Villa Amfunge City ili Tuwe Mabingwa.
- Baada tu ya mechi yetu na Man City ya Round ya pili niliamini kwa asilimia 100.00% kuwa Man City ndiyo Bingwa na wala sihitaji mjadala kwenye hili.
- Ninachokiona ni kuwa wale wanaopiga Ramli Villa Amfunge City ni kwamba wamebeba False Hope ili waje Wamtukane Gerrard na Coutinho tu kwa kushindwa kufanya kazi iliyotushinda sisi wenyewe.
Sawa

Fainal asingecheza Ila angekuwa Ni future material. Kwa mtizamo huo Ina maana wamebakiwa na chance moja tu ya kubeba uefa nayo ni hii fainal maana sidhani kama wataweza Tena misimu inayokuja maana kumpata mtu Kama Benzema kwa Sasa Ni uongo .Mbappe ndio angekuwa mbadala mzuri wa Benzema ..kwa hiyo hii fainal wasipochukua Basi Kwisha habari Yao Madirid tuisahau UEFA misimu inayofuata.kwahiyo wangempata angecheza hiyo fainali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]STIVE G kaamua kujaribu kutusaidia[emoji2][emoji2][emoji2] ngoja tuone itakuaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787