Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wenye akili timamu wako Kama hivi! Kuna wengine huwa mahaba yanawazidi wanaenda nje ya uhalisia.

Binafsi nami hii game naipa 50/50.
 
πŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏMkuu Fabinho majeruhi aisew hayupo mpaka pengine tarehe 28 fainali ya Uefa.

Origi bhana hua ni super sub nilitegemea kumuona akipata hio nafasi gemu ya Tottenham ajabu akaingia Keita matokeo tukatoka sare... Leo hakuna cha sare hapa lazima bingwa apatikane.

YNWA
 
View attachment 2224305
Mnasema aje dogo aanze au awe super sub.

YNWA
Huyu awe sub tu maana naye anakuwaga na mikimbio mingi mpaka anasahaugi mpira nyuma ila makosa yake yanafichwa na Keita Thiago. Fabinho bora akae bench ili akiingia yeye na Mr Super Sub ORIGI tupate hata Maisha ya furaha
Najua leo hatuna kiungo mwembamba mwenye kazi kubwa sana Fabinho daah leo sijui tunaanzaje maana wengine wanafaaga wawe sub

Keita akianza yeye ajabu yake anapenda sana kupanda mbele anapaacha kati wazi uwiiii. Ox naye yule yule ila kuna yule dogo Jones anafaa sana pale
 
Presha wanayo Chelsea wakipoteza leo itakuwa fainali ya nne mfululizo kupoteza hapo wembley 3 za Fa na 1 ya Carabao cup
 
Mashabiki wenye akili timamu wako Kama hivi! Kuna wengine huwa mahaba yanawazidi wanaenda nje ya uhalisia.

Binafsi nami hii game naipa 50/50.
Mkuu tukiweka ushabiki pembeni lazima tuseme ukweli Thomas msimu huu majeruhi yamemgharimu na gemu tulizokutana nao zote hakika zili balance sana sare ya moja moja na sare ya 2 2 na mwishowe penati 22 Carabao mpaka kuja kupatikana bingwa..

Gemu ni ngumu sana na presha ipo kwetu kutokana na haya maneno Liverpool anyakue Carabao, FA, Uefa na pengine EPL..

YNWA
 
Presha wanayo Chelsea wakipoteza leo itakuwa fainali ya nne mfululizo kupoteza hapo wembley 3 za Fa na 1 ya Carabao cup
Mwenye nacho ndo mwenye presha Chelsea hata akipoteza ataonekana ni kawaida kwao ila Liverpool akipoteza ataonekana kama vile hayupo serious mkuu
 
Your browser is not able to display this video.

Vijana wanakagua Wembley wapo ndaniiiiiiiiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

YNWA
 

Mshabiki wa Liverpool hawezi kuwa na Mindset hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…