Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 457
- 955
Carlo Ancelotti vs Liverpool kwa mara ya tatu 2005,2007 na sasa 2022.View attachment 2213743
Mind games zishaanza kwa Don Carlos Hahaha atulie tuli tushakomaa vyema hatubabaiki na maneno sie.
YNWA
Taka taka za blue zimetolewa zote.View attachment 2213745
😂😂😂😂😂😂😂😂Naona hapo kontena la Chugga na Pain Killer sasa Karim amefika mwisho sie hatuna mashaka na ushindi tutapambana tu.
YNWA
Amna kitu kama hyo ww liverpool 2 spurs 1Liverpool 1 Tottenham 1
Kwani kuna ubaya kutamani?Kuwa tu, maisha mafupi haya.
Vipi PSG unawahama!?
Kwani kuna sehemu nimesema ni vibaya kutamani!?Kwani kuna ubaya kutamani?
Acha ibaki hvyo hvyo kama ilivyoKwani kuna sehemu nimesema ni vibaya kutamani!?
Mkuu usisahau kutupa na mrejesho wa scores wengine tuko chaka hatuangaliiHiv kumbe na Tottenham wanawaza ku paki bus?View attachment 2215912
Sidhani kama wamepaki basi, wameelemewa sanaHiv kumbe na Tottenham wanawaza ku paki bus?View attachment 2215912