Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikosi kiko sawa japo me nilikuwa nataka aanze matip hapo nyuma.
Kweli hii gemu inahitaji Matip kwa ajili ya kutembea na mpira maana MF wa Unai wanakua 1st line ya defence yake hivyo kwa Matip ingemfaa ili kutanua uwanja Salah na Henderson na Trent wapate njia ya pasi ama ya kuwavuruga pale nyuma.

Konate baada ya goli zake vs Benfica anastahili dakika na bado kona tunapata nyingi sema mijamaa inaruka kimasai yaaani 😂😂😂😂...

Kabla ya dakika 70 angalu tutupie mawili kuwalegeza hawa njano njano aisee...

Hawa jamaa mpira wao ni mmoja watuvute kwao wapige kaunta ya fasta wafunge chap warudi tena nyuma ku defend haha mbona leo tunaooooooo.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…