Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu, hivi msim ujao hatuta kuwa na Origi? [emoji24][emoji24][emoji24] Honestly jamaa ni game changer aisee.

Origi kipindi chakuongezewa mkataba ndio anajituma,baada ya hapo hutamuona tena
 
Origi kipindi chakuongezewa mkataba ndio anajituma,baada ya hapo hutamuona tena
Nakubaliana na wewe lakini ninacho mpendea mimi huwa akiingia sub kwenye game ngum za kupack bus huwa anabadilisha matokeo. Nafikiri unaikumbuka game ya Wolverhampton alivyo ingia sub heheheeeee, na game nyinginezo mkuu.
 
Origi kipindi chakuongezewa mkataba ndio anajituma,baada ya hapo hutamuona tena
Origi has always been a decent player to us.He scored very important goals to give us our sixth Europian trophy.His goal versus everton last season is one of the attributes we are in champions league this season...He has scored again today to give us an assurance of three important points in our chase of a premier league title...in our chase of a quadraple..

He deserves some respect than Michael Owen.Than Luis Suarez.Than Coutinho.Than Emre....on his way to Milan.

Will always remember his decence.Will always remember his special goals...
 
Mkuu
Na lile alifunga tulipocheza na Wolves
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…