Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wana Liverpool wenzangu tusife Moyo hata KIDOGO.
Ni Maombi tushinde game zetu tu.
 
Msimamo wa EPL mpaka mida hii



Baada ya ushindi wa Burnley leo majirani wetu Everton haooo nafasi ya 18 ina maana hali kwao inazidi kua tete.

YNWA
 
Naona mnaenda kuwaonea tu Everton wa watu.

Hii itakuwa moja kati ya derby nyepesi kabisa kuwahi kutokea katika msimu huu.
 
Mido pendwa ya mashabiki hii iendelee kufanya vyema mana hapo anaviziwa aflop mtu kelele zianze.

Walau kocha kapunguza upendeleo japo atamuingiza Milner kama kawa
Hahahaha bhanaaaa wametega aisee uone twita na kwingine kukiwaka moto.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…