Liverpool FC (The Reds) | Special Thread




πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›Jamani sasa kama wachezaji wanaambiwa wasitue pale itakua aje.

YNWA
 
Muda wa Liverpool fan kuaangalia mpira wanatetemeka na kushikilia mbupu [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu nauhakika man shity fans ndo mnaangalia gemu kwa presha kuliko sisi sisi tunafukuza mwizi mbaka tumpite
Haogopwi mtu nyie pambaneni na hali yenu mwisho wa siku tutajua nani mwanaume nani mvulana[emoji1][emoji1]
 

πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” He retired hahahaa

Teh teh teh teh teh teh nini Liverpool khaaa kiko wapi sasa wapo hooooi ni meneja after meneja na matokeo ni yale yale hakuna shoti kati ku fix shinda za hawa Mashetani Wekundu.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…