OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Fainal kama Ile usifananishe na karabao mkuu ..mara ya mwisho Ramirez na Didier Drogba walileta msiba hapo hapo Wembley..Safi sana ila kwa kuhofia aibu na kelele zako FA tutashinda ili heshima iendelee
Huyu mbwa hata first eleven ya Brighton hayumo ,hata akipewa nafasi kucheza hawezi kupiga hata pass 4 ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,Hivi kwamba Liverpool sasa hivi ni wa motoooo balaa kiasi hata baadhi ya mashabiki wa Manchester United wanasema tusiwapige mvua kama kule Theatre of dreams...
Aisee ina maana hii timu yao wanacheza kukamilisha ratiba tu hakuna kingine jamani pamoja ni kwamba Liverpool tuliwai kua vimbaya zaidi yao lakini gemu zetu dhidi ya Manchester United na Everton kipindi kile tukikutana nilitegemea ni ushindi tu hakuna sijui tupigwe machache wala nini.
Wazungu wanasema " kicks of a dying horse can be dangerous" hivyo hakuna wepesi wowote kwenye gemu ya Liverpool na Manchester United au Everton cha msingi ni mikakati ya Klopp na pale kati ningependa nione MF ya Thiago, Keita na Fabinho mechi ya Jumapili pale Wembley walinipa show moja kabambe sana.
Liverpool Baba Lao.
YNWA
shabiki wengi wa man city Ni wa juzi juzi baada ya mwarabu kuweka hela. Ndiyo maana wengi Ni vijana wadogo.Unashangaa 30?Chelsea alikaa zaidi ya HIYO,man city zaidi ya miaka 60[emoji1787][emoji1787]...we kweli soka umelianza kipindi Cha sheikh mansour [emoji1787]
Kwanini henderson tuanzie hapo kiongozi?Mkuu,
Kwanini asianze Jordan Henderson?
Henderson gemu ikiwa na presha kubwa kipindi cha kwanza hua hana utulivu. Ana mipira fulani ya kurudisha nyuma muda mwingi badala apeleke mashambulizi mbele ama side ways kwa Robbo ama Trent.Mkuu,
Kwanini asianze Jordan Henderson?
Hendo anapoza sana ballMkuu,
Kwanini asianze Jordan Henderson?
Ndio kaanza sasaKwanini henderson tuanzie hapo kiongozi?