Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game ni draw Tena ya 0-0 ....

City tutaendelea kukaa top of the table [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 2181272

Aisee wasubiri ligii iishe ndio haya mambo tuyaanze kuona namna gani.

Benzema kwa sasa yupo juu.

YNWA
Sioni hoja ya kusema Benzema yupo juu kuliko lewandowsk mi naona labda tuseme anatrend kwa kupiga hat trick back to back dhidi ya timu zinazofatiliwa sana uefa lakini hapo lewa ni the best....
Uefa Lewa ana goli 12 na bundasliga ana goli 31
Benzema yeye ana goli 11 na laliga ana 24...
Mi naona ni muda muafaka wa kumpa Lewa ballon dor wamemzungusha kwa muda mrefu sana...
Salah hapo anakaa nafasi ya tatu coz hapa katikati ameflop maybe kama ataregain ubora wake na ukizingatia kashindwa kufuzu kombe la dunia ndo basi tena
 
Hana pressing huyu awezi Kuja Liverpool
Under Klopp atabadilika.

Kingine Klopp sasa anabadilika kimfumo kulingana na mpinzani tofauti na zamani tulikua ni 4 3 3 period.

Kama bei itakua rafiki atatufaa sana tumekua wasteful muda mwingi pale golini lakini tukipata real poacher mambo yatabadilika.

YNWA
 
Lewandoski namuona La Liga next season aisee kwa kweli akitua kule na akaedeleza ubora wake basi Ballon inamhusu.

Muda kwa Salah upo kurudisha makali katika gemu zilizobaki azidi kua na utulivu ajitume na umakini uwepo apatapo nafasi na magoli yatakuja tu.

YNWA
 
Natamani miaka irudi nyuma nikutane na wale mashabiki wa Nyumbu enzi hizo za kidato cha kwanza miaka ya 2009 nilipize kuwacheka
 
My line ups for tomorrow


1. Alison


66. Trent. 32. Matip. 4. Virgil. 3. Robertson.



14. Henderson (C). 3. Fabinho. 6. Alcantara.




11. Salah. 9. Firmino. 10. Mane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…