Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,472
- 32,923
ππππππππππ Kana mishe kama zote na baada ya kufuzu kombe la Dunia naona amepata ari, nguvu mpya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini kajota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo kanakimbiaga mno
Na kakiushika Mpira aisee huwaga hakaachii kirahisi .
Kanakimbia hako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kana mishe kama zote na baada ya kufuzu kombe la Dunia naona amepata ari, nguvu mpya.
YNWA
Inabidi nijiunge na hii nikachezeView attachment 2175867
Wamerejea Ligi Kuu kwa kushindo mara pap na Wanaume nao wanapambana kinoma kuichukua EPL itakua jambo njema sanaaa.
YNWA
Hahaha ile inaitwa THE SPEAR kwenye mieleka ni noma sana ujue sasa kakutana nayo Jota aafu eti penati ya michongo jamani kwamba hawajaona duuh.Kanakimbia hako
Hakashikiki
Hata ningekuwa Mimi ningekatandika tu ngumi,no way.
ππππππAll the best sasa huko itakua rahisi mtakutana na Matip Hahaha kazi kwako sasa.Inabidi nijiunge na hii nikacheze
Ntakuwa nanesesha shingo kama Matip [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]All the best sasa huko itakua rahisi mtakutana na Matip Hahaha kazi kwako sasa.
YNWA
Ila huyu jamaa anaumwa umwa hadi siyo poa
Katoe tu nywele hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ile inaitwa THE SPEAR kwenye mieleka ni noma sana ujue sasa kakutana nayo Jota aafu eti penati ya michongo jamani kwamba hawajaona duuh.
YNWA
Hivi ukipewa dakika 3 tu ukutane na Matip ungewambia aje kiasi upate mwaliko kutazama mechi ya Mwisho Msimu huu Liverpool vs Wolverhampton pale Anfield Mei....Ntakuwa nanesesha shingo kama Matip [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ataniona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani ntafurahi hadi ntakosa cha kumwambia zaidi ya kulia kwa furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ukipewa dakika 3 tu ukutane na Matip ungewambia aje kiasi upate mwaliko kutazama mechi ya Mwisho Msimu huu Liverpool vs Wolverhampton pale Anfield Mei....
YNWA
Hahaha yupo moto kafunga goli la 20 msimu huu na ndio mara ya kwanza kufunga goli 20 tangu aanze kucheza professional football.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanakimbia mno yaani
Huyu jamaa anajituma mno aisee
ππππππππππππππ...Nadhani ntafurahi hadi ntakosa cha kumwambia zaidi ya kulia kwa furaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]