Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Muhaho

Because there is very little to separate the two

Na ukiweka na ucl ndio kabisaaaaa maana kuna timu ina 100% wins nyingine 100% losses
 
Acha uongo hii takwimu haipo sahihi
 
Muhaho

Because there is very little to separate the two

Na ukiweka na ucl ndio kabisaaaaa maana kuna timu ina 100% wins nyingine 100% losses
Uefa ..2017/2018

Liverpool 3-0 man city

Man city 1-2 Liverpool

Liverpool ikafika final vs Madrid ,ndio mkapasuka hapo karius akafanya yake
 

Dogo kuna vitu usiombe ili ukwepe aibu zisizo za Lazima sawa!
H2H Klopp v/s Pep in EPL (and UCL)

KLOPPPEP
Matches1313
Win53
Draw

Losses
5

3
5

5

Vipi bado kuna kitu usaidiwe?
 
2016/2017: Liverpool 1-0 Man city, Man city 1-1 Liverpool 2017/2018: Man city 5-0 Liverpool, Liverpool 4-3 Man city. UEFA Liverpool 3-0 Man city, Man city 1-2 Liverpool 2018/2019: Liverpool 0-0 Man city, Man city 2-1 Liverpool. 2019/2020: Liverpool 3-1 Man city, Man city 4-0 Liverpool 2020/2021: Man city 1-1 Liverpool, Liverpool 1-4 Man city 2021/2022: Liverpool 2-2 Man city.
Leta yako ya ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Huu wako ni uhuni kwanini hukuanza 2016/2017? Au ulikuwa bado hujahama Arsenal na kuhamia City?
 
Umeandika Nini hapa mzee ,

Dogo unaleta ucomedy kwenye mambo ya msingi?

Kwa Ufupi tu ni kwamba kumbe tunajibizana na Mtu ambaye hata historia ya juzi tu ya Timu yako huijui! Yani leo nimekuona ni bure kabisa na nimejihakikishia kuwa umejipachika Man City 2018 ndiyo maana hata hujui kuwa Pep na Klopp walikutana December 2016 Mancity ikafungwa 1 - 0 kwa goli la Utosi la Gini.

IN SUMMARY:
  • Klopp kwenye EPL kamfunga PEP mara 3 tu.
  • Pep kwenye EPL amfunga Klopp mara 3 tu.
  • Wametoka sare mara 5 EPL
  • Kwenye UCL Klopp kashinda zote mbili.

Fuatilia kwa makini Timu yako usiunge unge matokeo! Pep hajamzidi Klopp kwenye EPL wamefungana sawa mara 3 kila mmoja lakini Klopp kamfunga PEP mara 2 CL.

Hivyo kiujumla Klopp kambonda Pep mara 5 kwa zake 3.
 
Hili dogo niliongo sijawahi ona.

Halafu sikia wewe shabiki wa Man shit humu naona unajitia aibu tu maana hata idadi ya makombe Aston villa anakuzidi.
Sasa ni bora hata ukasumbuane na watu wa Arsenal na chelsea ila uzi wa LIVERPOOL na NYUMBU usiwe unazisogelea kabisa kaa mbali.
 
Leta uongo wangu kinabo wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbona unateseka Sana mzee ,unamaumivu makali kama pilipili imegusa kwenye kidonda chako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nan kasema sijui twakwimu za 2016/2017 unajitekenya na kucheka ....Mimi sinaga paniki za kijinga kama zako kama unastress na mpira kimpango wako .....

Life si football and football is life no stress always happy ufunge usinifunge ,ubebe epl ,ubebe CL I real don't care [emoji28][emoji28][emoji28]usiniletee Mimi makasiriko mzee [emoji28]
 
Rent boys wanajazana ujinga kuwa lazima wanabeba hili Kombe la UCL.
Sasa subiri wasije wakatuletea sababu kuwa wamewekewa Vikwazo tu.

Ni kuachana nao tu, walivyokua hawajielewi wanajua uefa ni kikombe cha kawaida tu wanachukua wanavyotaka.

Sababu lazima ziwepo tulivyowafunga kwenye carabao wakasema wamefungwa lakini wamecheza vizuri kwa hivyo haiwaumi kufungwa ,halafu wakasema Liverpool ya kawaida tu Kumbe.
 

Mechi iliyopita tuliocheza Na city TAA hakueo na tukatoka nao sare,nafasi yake alicheza Milner.

Safari lazima hawepo maana Milner ile goli la pili angekuwa TAA pale ule mpira usingekuja kati.
 
Dah huyu Trent kukosekana ni huzuni kwangu[emoji27]
Mungu amponye...
Dogo anazipatia sana kona yaani[emoji119]
Amin Amin.

Mungu atafanya wepesi jeraha lile baada ya mapumziko awe amepona vyema kuwavaa Manchester City na Benfica.

Klopp kashasema ikitokea hajapona mpaka EPL inarejea basi atatumia wachezaji waliopo ama atabadili mfumo mambo yasonge mbele.

YNWA
 
Kwa hio tukiwa kamili umetufunga mechi moja ya 2 1.

Hio ya 5 nakumbuka Mane alipigwa nyekudu goli zikiwa bila bila na mkiwa hoi baada ya ile kadi mlikuja kama mvua.

Hii ya 4 nayo tulikua hoi pale nyuma pakiwa na peupee balaa hata Burnley, Fulham nk walituchapa tena nyumbani Anfield the Fortress.

Safari hii tunakutana wote tukiwa kamili. Hopefully Diaz beki wako atakua amepona ili gemu iwe ngangari mazima.

Mtihani uliopo ndugu ni kwamba kwa EPL hii unaweza kutoa sare na sisi aafu unashangaa unatoa sare tena na Wolverhampton same case na sisi. Ndio maana usije shangaa hii ngoma ikawa decided na goal difference.

We got a title race. Ni zawadi kwa mashabiki mpaka ma neutrals. Sio kila msimu haya mambo hujurudia hivi kwamba kwa hizi gemu 9 zilizobaki kwetu kila gemu itakua fainali sasa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…