Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Bora Taikumi aisee na hii Carabao ndio mfungaji bora kwetu.Milner kuingia imekuwa ni wastage ya rasilimali watu kwani tumebaki 10 tu.
Afadhali.Mendy out,kichwa kinauma
As I said before
Tupe update ivo ivoChelsea wanapata
Umuhimu wa Milner tunauona sasaWoow Milner na Fabinho safiiii
YNWA
Yeah 😁😁Lukaku anakosa