Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Maana nyingine ya upana wa kikosi ni pale unaona Mane sasa anapambana kwa kujituma mno anajua akipona Jota na Diaz akazidi kujituma hivi anaweza jikuta benchi.

Asante Diaz umekuja wakati mwafaka sana.

Mane leo kakipiga design kama Firmino alikua mhangaikaji sanaaa.

YNWA
 
Mane false 9 ameipiga fresh kuna saa alikua anacheza kama middle 8 anashuka kuchukia ngoma kwa kina matip
 
Kwani Leo tulikubaliana tunaamka sangapi???
Ahahhhhhhh guys najua mko na furaha mob..
IPO hivi kama tukishinda mechi zetu zote zilizobaki tayari n mabingwa EPL hahhhahhh it sound good..
Tujiandae kusherekea ubingwa wa 20 wa EPL Na kurudi kwenye ufalme wetu tulioporwa na NyumBu kimiujiza..
Sherehe zitaanza jumapili hii tr 27 pale mjini Wembley ambapo Chelsea atalia kilio cha mbwa mwizi baada ya hapo tunampiga Norwich kwenye FA ili tuzidi kuikalibia faninali Go Milani chaali. Ahahahahahah.. Hawana hamu tena na majogoo ya jiji imebaki kukamilisha tu ratiba, bahati mbaya watakuja kumalizia ratiba yao Anflied teh teh teh teh....

Hiyo UEFA nazani tutacheza na Bayern au PSG final hahahhahahhh raha sana.. Mwaka wetu ni huu.
 
Olachuga akisoma hii atapata 'hati ataki' mkuu hebu punguza makali. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…