Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wamemtoa nani?
Liverpool can name unlimted players in List B, which is reserved for those under the age of 21 with at least two years’ training with the club and can be confirmed the midnight before any game.

The likes of Curtis Jones, Tyler Morton and Conor Bradley will make up this list, while Harvey Elliott still takes up a spot on List A due to not meeting the training years requirement.

YNWA
 
Michael Zorc is a proper genius how he negotiate and nab this kids and provide an avenue for thier next development with immediate impact... Its was scary last June 2021 Haaland price was mentioned at £150m considering they bought the young boy at less than £20m but having provided the right avenue for the boy to develop and numbers to back that price up was astonishing price...

Micheal Zorc is stepping down as the Sporting Director at Dortmond this June what a servant he has been with Dortmond since 1978 as young boy and being their Sporting Director since 1998. He is a genius by any standards with a very slim budget but how they spot young talents is just fabulous.

Kwa mfano baadhi ya wachezaji makinda walionunuliwa na Dortmond na kuja kuuzwa ela ndefu 👇

*Pulisc walimpata bure wakamuuza Chelsea £57.m

* Kagawa walimpata kwa £365k wakamuuza kwa £16m kwenda Manchester United.

* Ousemane Dembele walimpata kwa less £10m wakamuuza Barcelona kwa £96m

* Gundogan walimpata kwa £3m wakamuuza Manchester City kwa £21m.


*Pierre Aubameyang walimpata kwa £8m wakamuuza Arsenal kwa £25m

* Jadon Sancho walimpata kwa £8m akiwa na miaka 17. Na wamemuuza Manchester United kwa dola 100m akiwa na miaka 21.

* kubwa kuliko zote ni Robert Lewandowski akiwa na miaka 21 walimpata Poland nyumbani kwao. Huyu mwamba alikua mfungaji bora Poland kuanzia ligi daraja la 3,la 2 na daraja la kwanza, Dortmond wakamuwai chap 2010 kwa £2m akacheza kwa mafanikio. Walikua na nafasi ya kupiga ela ndefu kwa huyu mwamba lakini waliacha mkataba wake uishe 2015 akasepa Bayern Munich ambapo hajapoa ni moto balaa.

HIzo ni baadhi ya dili ambazo Fabio Carvalho akiwekewa mezani na Dortmond ni ngumu kuchomoka aisee so the earlier the better we sort the deal mapema inakua advantage kwetu.

Fulham hii ela kwao itakua dili powa sana na sina uhakika kama kwa Tribunal wataweza kupata hio pesa na pia kulinda mahusiano ambayo ni muhimu sana for future business relation itakua sio powa kwenda tribunal kwetu.

Michel Zorc aisee sijui sasa Arsenal maana wamemtaka siku nyingi akawa anawagomea watampata sasa ama ni vipi..

YNWA
 
Origi will leave in the summer, Klopp kagoma kumuuza now.

Newcastle, Brighton & Wolves wanted him, Atalanta too.
Probably if and if Diaz angetua mapema pengine Origi angeuzwa.

With January you never know inakua helter-skelter kununua na kuuza wachezaji.

YNWA
 
Wakuu mbona viingereza vezidi sana hum? Wengine tuliruka kwenye madirisha ya madarasa aisee
 
Na kweli binafsi huyu dogo Matip kutoumia kama tulivyozoea niseme big up kwa medical department kwa kazi njema, kama kweli wanaweza fanya kwa Gomez watakua wametuokoa akipona 100% kusiwe na hizo recurring injuries itakua jambo njema kwetu.

Thiago Fabinho ni compact hakuna kabisa pasi za hovyo kuwachosha mabeki ni structured flow of football any game especially when Thiago is on top of his game.

Henderson i just feel for the boy kwa kweli.. He plays for the critics instead of playing for the team. In football critics make you better otherwise if they get in his skin boy he will lose it and too bad he has. Hana cha kupoteza he has a new contract mpaka 2025 now using his British pp haha yaaaaani hawa jamaa kwa kubebana ndio wenyewe aisee ajabu leo wanamkaanga. Hii on the bright side sasa Klopp after phasing out Milner naona Henderson akichukua nafasi yake ya sub haha sio tena starter. So the more the critics the better from next season especially tukimpata Bissouma woow huyu Captain wetu atakua hana namna zaidi ya kukumbali japo hua ananuna balaa hata akipewa sub lakini tuna bigger plan as team than individual performance.. Naona Westham tayari Moyes kashaweza fan favourite Captain Mark Noble is no longer a starter ametulia kwa benchi and the fans are okay as the team is winning challenging for top 4 spot na wapo Europe League. On this i trust Klopp has a proper plan in place.

Keita man this namba 8 baller. I mean if Matip can sustain this season without getting injured mpaka sasa kwa nini na huyu mwamba asiweze yaaani he need to sit down with Matip apate siri haha pengine atakua sawaaaaa.. I just wish he can have a way out of this often injuries ambazo zinammaliza maana majeruhi ya mara mara sio powa kabisa even mentality yake inabadilika na kukosa kujiamini kabisa..

YNWA
 
Ina maana Salah angekua kwa wakala Jorge Mendes au Jonathan Barnett au Mino Raiola haya maneno yangeshaisha. Sasa kwa kweli huyu wakala nae asilete tamaa aisee maana japo ni kweli timu nyingi zipo hoi kuweza kumnunua lakini akisema asepe bure 2023 naamini hatakosa timu ya maana kumhitaji japo yeye kashasema anagetamani sana kuedelea kubakia Liverpool kwa miaka mingi ana uzuri wa dogo hana majeruhi ya mara kwa mara hivyo uwezo wa kua na influence uwajani upo hata aki hit 35yrs akiwepo Liverpool.

Wakala anajua vyema huu mkataba ndio mkubwa wa mwisho hivyo human nature is taking toll anataka wapate the maximum benefits they can milk Liverpool and tooo goood Salah performance is just superb hivyo on Salah delivering its on their side and mara pap we out muscle Ethad boys this season EPL haha am positive Salah stake will raise or even nabbing UCl will be an added advantage to his camp.

If Klopp did lets Lewandoski walk akiwa kinda vile usishangae na Salah au Mane, Firmino mmoja au wote wakakosa new contracts aidha wauzwe ama wasubiri June 2023 wasepe bure. That is Klopp at his best man. He wont go begging FSG to bend thier policies to accommodate salary increment yeye kama kawaida he will work with the players he has. Ki ufupi come June 2022 things will get a bit ugly guys with our main front 3 boys lets just hope Julian Ward is well equipped to sail smoothly and not disappoint.

Hahahaha hio ya Harry Kane nomaaa sana. Ameanza kufarahia maisha upya chini ya Conte japo wana mtihani sana kuwavutia proven talent kujenga upya kikosi baada ya kufanya makosa mengi ya kununua miaka mingi hopefully Conte atabakia pale miaka kadhaa kuleta ushindani wa kutosha wa Ligi.


YNWA
 
Mpira ni biashara, hawa kina salah mane and firmino tumewatumia kwa muda mrefu sana... mpaka wapinzan walishatukariri tunachezaje.. mda fulan ni lazima ukubali tu kuuza mchezaji wako mmoja mkubwa ili wengine wapate nafasi, tusingemuuza torres naiman asingesajiliwa Suarez.... hawa watatu hawaumizi kwa kuwa ukiangalia umri wao soon wataanza kutokupa kile unachotaka... kujicommit nao kwa mkataba wa mda mrefu ni risk pia.. Now tukubali tu firmino si bora kuliko jota.. ila kipnd firmino akiwa onform uwez mfananisha na jota... mane hana consistency ndio ni mpambanaj lakn anamakosa mengi kwa sasa... salah kinachombeba ni mzuri ingawaje age imeenda ila bado anaubora ule ule... binafsi nawaelewa FSG maana hata ningekuwa mimi ningefanya wanachofanya.. Diaz ni mchezaj mzur sana nae atahitaji nafasi kuprove hilo..kama minamino angeeingia kwenye mfumo vzur naiman jota asingesajiliwa.
 
Super
 
Juzi alicheza vizuri, kuna kitu alikuwa anajaribu kufanya ambacho ni kizuri, yaani kupinga chenga
Akiwa squad player atakua powa sana na umri wake bado mdogo sana hivyo atulie hapa hapa Anfield...

Lakini pia kibiashara bara la Asia anatubeba kimtindo...

YNWA
 
Jones, Elliot, Thiago, Keita naona wote wamerudi ila dakika tuu utashangaa tunaanza kujiona hatuka kikosi ndipo tunawaona kina Morton sub
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…