Sasa ambaye hajielewi Kati yangu mm na ww ni yupi??Ila ww jamaa sijui hujielewi? Yaani unataka watu tu post kitu unachokitaka ww? Kila mtu anapost kutokana na feelings alizo nazo hili nijukwaa huru bhana usituletee ujuaji hata sisi ni mashabiki wa Liverpool bhana japo tukipoteza au makosa yakitokea tunapaswa kutoa hisia zetu em kwenda zako huko.
Sasa ambaye hajielewi Kati yangu mm na ww ni yupi??
Unanikataza kufanya kitu ambacho ww unakifanya kwenye paragraph hiyohiyo
Kama ww Ulikuwa unajua hili ni jukwaa huru then mm nimetumia uhuru wangu kama ww ulivyotumia wa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
FSG wanakera sana Mkuu. Mansour anampat sapoti kipara kila akihitaji kuimarisha kikosi wanatoa ela tazama walimtaka Messi, Kane bila hata kuuza mchezaji lakini kwa Klopp lazima auze ndio anunue hua nikisema Klopp ni Genius ni kutokana na ufinyu wa kikosi lakini anakitumia to the maximum kishindana na Kipara Pep to the maximum.hili swala la city kutawala ligi linakera, 4 trophies in last 5 seasons
Huyu jamaa ni mpuuzi sasa anavyo screenshot kile kilicho andikwa na watu na kuonesha yeye ndio mshabiki halali ndio nini? Mpuuzi tu huyo.Mkuu acha hasira,tushangilie ushindi,mkuu namna ulivyoandika unaonekana wamekuudhi sana,potezea tujadili mambo ya msingi hayo majibizano hayana faida kwetu. Ingekuwa mshabiki wa timu nyingine sawa.sasa sisi wenyewe tunagombana pasipo Na sababu Za msingi.
Mkuu usipende kuweka vitu moyoni,zeway ulivyoandika haijengi humu ungeandika tu kawaida lakini unaoneka umekasilika sana.
Ohoo hata Mimi ni super moderator ,ila Sina mpango wa kupiga ban mtu [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakua kajipiga mwenyeweSuper moderator naona una Ban au umejipiga mwenyewe?
Senegal vs Egypt in the WC qualifiers third round (CAF region). So it means one between Salah or Mane will miss this years World Cup ππ
Captain Marvelous
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏπ§π§π§π§π§Hawa Fifa hawana huruma kabisa.Senegal vs Egypt in the WC qualifiers third round (CAF region). So it means one between Salah or Mane will miss this years World Cup ππ
Captain Marvelous