Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,917
Barcelona waje wamchukue huyu Thiago tutoe na ela watupe Frenkie De Jong na tunakua sorted....
Hahahaha Klopp bhana aligoma wachezaji kupiga kura ya Kapteni namba 1 na 2 lakini akawalazimisha wapige kura Kapteni namba 3 na 4 Hahaha.Kumbe ni wachezaji wanapiga kura!
Basi walikuwa wamepiga vyombo..wanampigiaje mwehu huyu Kura[emoji1787]!
Kashaanza visingizio eti timu yoyote ikiwakosa Mane, Salah, Keita lazima iteseke etiiiiii hahahaha huyu mzee kapagawa kwani June 2021 hakujua wataondoka ama hili dirisha la sasa kafanye aje sokoni... Hatutaki maneno sisi tunataka matokeo ushindi.
Wanazingua😒Kashaanza visingizio eti timu yoyote ikiwakosa Mane, Salah, Keita lazima iteseke etiiiiii hahahaha huyu mzee kapagawa kwani June 2021 hakujua wataondoka ama hili dirisha la sasa kafanye aje sokoni... Hatutaki maneno sisi tunataka matokeo ushindi.
YNWA
Sasa walishindwa kutumia hata akili ya harakaharaka ya kawaida wakamuweka VVDHahahaha Klopp bhana aligoma wachezaji kupiga kura ya Kapteni namba 1 na 2 lakini akawalazimisha wapige kura Kapteni namba 3 na 4 Hahaha.
Alijua fika kura zingepigwa Henderson hana chake pale.
VVD ndio angepata ujue haha. Boy is born leader.
YNWA
Hahahaha Henderson na Milner ni hand picked na Klopp wala aliewapigia kura.Sasa walishindwa kutumia hata akili ya harakaharaka ya kawaida wakamuweka VVD
Hahaha mara utasikia upepo, barafu, refa yule, VAR, nk nkWanazingua😒
Misim mitatu hujasajiri alafu utake performance nzuri ya wachezaji siniuzwazwa huo?Hahaha mara utasikia upepo, barafu, refa yule, VAR, nk nk
Huyu aache visingizio aseme ukweli kukosa kusajili misimu mitatu iliyopita imetugharimu haya ya sasa aache bla bla..
YNWA