Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mo Salah go to money cows aidha PSG or Ethad haha maana hawa FSG cant match your ambition...

Salah amesema anahitaji commitment ya usajili kutoka kwa FSG kwamba watasajili wachezaji wenye viwango watakaosaidia Liverpool kushinda makombe zaidi Salah sio msidikizaji anahitaji ushindi wa makombe period...

Over to you FSG mmezoea kudanganya sasa Salah kawashika pazuri sanaaa hataki bla bla anataka action sokoni...

Give the boy 350k close the deal, give Mane 200k, sign young potential understudy for both flanks and we are sorted.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…