Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kops humu walikuwa wanalikataaa kombe la Carabao cup [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

We should focus on the Carabao cup and the Fa cup vinginevyo tutaenda msimu mwingine patupu.

Hizi si mlisema si saizi yenu?[emoji23][emoji23]

Leo imekuaje mkomae nazo?
 
Acha leo the blues tushinde turudi nafasi ya pili tar 2 tunawabamiza na habari yenu inaishia hapo.
 
Punguzeni vingereza ssa
 
Alaf soon unakutana na TT na this time hakuna red card. Naona sasa mafuta yanaanza kujitenga na maji taratibu
 
Tarehe 2 tunapata corona na game Ina sogezwa mbele

Mmeshaanza kuogopa hata kuingia uwanjani ,mnaanza kujificha kwenye kivuli cha korona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kweli hii timu imeshajifia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
inabidi bodi ya league ianze kichunguza vzuri ,Kuna timu sio kwamba ni korona Wala Nini ,yaan Kuna timu zimepoteana hazina confidence zinaogopa hata kuingia uwanjani zinaogopa vipigo .....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...ya kwanza ni man utd ,naona hata liverpool wanameshaanza woga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…