Kwenye hii fixture nina uhakika mutashinda mechi moja tu.
Hawa wote ni raia wa Brazil,hizi nchi za Latino hawana tabia za Anglo- Saxony.Huyu Fabinyo si mutu mweusi?! Anaoaje
mzungu?! baadaye ND wanakuja kukimbiwa kiboya ajifunzi kwa wenzake wakina Eboe wa arse8 na akina Sagna. ļæ¼
View attachment 2044378
Yes here we go now... Leicester akipona hapa ntajua ana Mungu...
YNWAYes here we go now... Leicester akipona hapa ntajua ana Mungu...
Ynwa
Mtandao unanizingua leo nashindwa kuangalia mechi hivihivišYNWA
Come On You Reds.
Pole. Utapata updates lakini usijali. Shida ya huo mtandao ni nini?Mtandao unanizingua leo nashindwa kuangalia mechi hivihiviš
Internet ya kujitafutiašPole. Utapata updates lakini usijali. Shida ya huo mtandao ni nini?
Labda mpaka match ianze itakuwa imekaa sawa.Internet ya kujitafutiaš
Ikae sawa wapi?Labda mpaka match ianze itakuwa imekaa sawa.