Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Hivi kweli kuna haja ya kua mechi mbili za Carabao za nyumbani na ugenini...
Hivi kweli kuna haja ya kua mechi mbili za Carabao za nyumbani na ugenini...
Hapa sio sawa kwa mazingira yalivyo duuh hawa wachezaji siku watagoma ili wasikilizwa aisee maana wanatumika mno..
YNWA
Kaka Ukisema wachezaji wanatumika, wanacheza mechi moja kwa wiki na wanapokea mishahara mikubwa, vipi kuhusu manesi, madaktari, madereva nk?Hivi kweli kuna haja ya kua mechi mbili za Carabao za nyumbani na ugenini...
Hapa sio sawa kwa mazingira yalivyo duuh hawa wachezaji siku watagoma ili wasikilizwa aisee maana wanatumika mno..
YNWA
Ni ngumu kuelewa aisee yaani hawa Waingereza na utamanduni wao hua vichwa ngumu sana yaaaaani huwaambii kitu hapo...Hakuna haja,labda mechi ya kwanza kama mmetoka sare ila kama mmoja ameshinda ilitakiwa biashara iishie hapo.
Sijajua hasa walikuwa wanataka nini kuweka hivyo nusu fainali.
Mkuu ni hivi kabla ya corona haya mambo ya wachezaji kutumika sana yalikua hata hayapo kivile aisee ila sasa vikosi vinaadhirika sana unakuta kikosi kina wachezaji 14 tu wazima wa Team A/B na ambao nusu ni bench warmers aafu unaambiwa kuna mechi 22/12/21 na 26/12/21 na mechi 28/12/21 na mechi 2/1/22 na ndani ya wiki 5 mechi watakua wamecheza 10 hivi je unadhani output itakua ile ile.Kaka Ukisema wachezaji wanatumika, wanacheza mechi moja kwa wiki na wanapokea mishahara mikubwa, vipi kuhusu manesi, madaktari, madereva nk?
Kwanini hoja imekuja kipindi hiki wakati ndo utaratibu toka awali?Hivi kweli kuna haja ya kua mechi mbili za Carabao za nyumbani na ugenini...
Hapa sio sawa kwa mazingira yalivyo duuh hawa wachezaji siku watagoma ili wasikilizwa aisee maana wanatumika mno..
YNWA
Sema wamekutana na the best team in England yaan tumewakaba roba ya mbao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leicester city wameamua kuipooteza hii mechi ya Manchester city ili waje wafe na sisi ijumanne.
Fanya mpango uanzishe thread yako ya man city nahisi utakua unajiongelesha mwenyewSema wamekutana na the best team in England yaan tumewakaba roba ya mbao[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwamba Akiwa huko anapost mwenyewe Afu anajiquote mwenyewe Kwa I'd nyingine ili thread iende[emoji1787]Fanya mpango uanzishe thread yako ya man city nahisi utakua unajiongelesha mwenyew
Namuonea huruma maana kila jukwaa yupo anajiongelesha ,Tanzania nzima shabiki wa man city yupo peke yake [emoji3][emoji3]Kwamba Akiwa huko anapost mwenyewe Afu anajiquote mwenyewe Kwa I'd nyingine ili thread iende[emoji1787]
Hoja vikosi vimeadhirika na corona ndugu hamna kingine.Kwanini hoja imekuja kipindi hiki wakati ndo utaratibu toka awali?
ni malalamishi ya Klop tuu hata kabla ya corona, alishazoea ujerumani timu 18 ligi, na michuano miwili tuu, tangu aje huyu mwamba ikifikaga desemba lazima alalamikeHoja vikosi vimeadhirika na corona ndugu hamna kingine.
YNWA
We don't care .....Fanya mpango uanzishe thread yako ya man city nahisi utakua unajiongelesha mwenyew
Actually kwa sasa wanaolalamika ni wengi tu makocha Conte, Rodgers, Gerrard, Pep, Raghnick, Klopp, Benitez nk..ni malalamishi ya Klop tuu hata kabla ya corona, alishazoea ujerumani timu 18 ligi, na michuano miwili tuu, tangu aje huyu mwamba ikifikaga desemba lazima alalamike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba Akiwa huko anapost mwenyewe Afu anajiquote mwenyewe Kwa I'd nyingine ili thread iende[emoji1787]