Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Nina imani ndugu tunakwenda jino kwa jino yaaani wasituzidi pointi nyingi mpaka tunamaliza February tukiwa tupo within kwa pungufu ya pointi 6 basi ndugu nitaamini lolote linawezekana..Mkuu Mimi nakuhakikishia hapa nikiwa kama shabiki wa Liverpool, Klopp hamtoi Pep pale juu na kama huamini subiri Game ya Leicester city na Chelsea utajua Gap letu na City litakuwaje.
Hapana ndugu naongelea Klopp kupumzisha kikosi chake cha kwanza na kuwapa hawa vijana nafasi kwamba binafsi nasimama na Klopp kupanga hawa makinda leo maana hali ishakua tete kutokana na corona hivyo wachezaji waliobaki wazima wa kikosi cha kwanza ni wachache na games are coming thick and fast hivyo managing our main priority is the priority that is EPL..So you are coming with the excuse that you don't what this trophy right?then which one are you going to win because we all know that man city will win Epl.
In Klopp i trust.tumewapangia kikosi dhaifu, na kwenye ligi usidhani tutawafunga kirahisi kisa tumepumzisha watu
Most local realistic trophy kwa Leicester ni hii Carabao na FA hivyo sishangai..Jamaa wameweka full mkoo maamae
Hahaha Professor Norbert Klopp anajua bhana.Niko upande wa Klopp! Yaani Carabao mnataka tuweke full mziki? Haiwezekani! Wacha vijana nao wavae uzi wa Reds!
Man,Trophy is Trophy Manchester city amewin hili kombe zaidi ya mara 5 because they took it seriously and recognised it is a Trophy.Most local realistic trophy kwa Leicester ni hii Carabao na FA hivyo sishangai..
YNWA
Dah[emoji22]Hahahaha Rodgers kaweka kikosi full huku kwetu Klopp kaweka kulingana na hali halisi iliyopo ukizungatia wengine mpaka sasa wapo na corona hawajapona..
YNWA
With Manchester City riches its really surprising wanakosa aje Champions Leagues mpaka sasa maana vikombe vingine vyote vya local wanajichukuliaga tu now and then..Man,Trophy is Trophy Manchester city amewin hili kombe zaidi ya mara 5 because they took it seriously and recognised it is a Trophy.
AT THE END OF THE DAY TROPHY IS A TROPHY WETHER YOU CALLED IT MICKY MOUSE OR WHATSOEVER.
Taikumi what a patient lad...he has made the headlines...Kipindi cha pili
Hii ni rehearsal ya maisha bila Mane na Salah hapo January 2022 namna mambo yatakavyokua jamaa...
Hahaha who want to make the headlines
Keita
Jota
Taikumi
YNWA