Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

My MOTM jana was Fabinho oh boy was šŸ”„...

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi baki na ofa yako.
Mimi na liverpool damu damu hadi pale kifo kitakapotutenganisha.

Nimeshafungua Pm mkuu,
Sijui wataka niambia nini wewe,usiniporomoshee tu mitusi yako ya hovyo tafadhali[emoji16].
Matusi kwani umenikosea nini best
 
Nipo hapa mkuu
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mkuu
Naona kipara ameshaanza kupang'ang'ania pale juu .
 
[emoji16] mashabiki wa Liver wa humu mashauzi kasoro wewe kuna mda wanaongea English wakati hatujasoma wengine ndiyo maana nawazinguga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina Don hao,Captain na baba liva wa jf MosDef.

Mimi la saba Natolea wapi kizungu[emoji12]
Mbaya zaidi hata kuchambua mpira sijui,,ndio najifunza hapa mpira.
 
Hasa wakifungwa vingereza kibao

Uje uanze na kubet sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…