Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,630
- 81,726
Kujuana mapema ni jambo moja. Kuwepo hapa baada ya mechi ni jambo jingine. Msipoteane.Mimi pekee yangu nasema hivi Aston Villa sio timu ya mchezo mchezo ......
Wale wa astonvilla tujuane mapema ....
Wakati mnapigwa goli 7 mliingiaje uwanjani msimu ule ......Kujua mapema ni jambo moja. Kuwepo hapa baada ya mechi ni jambo jingine. Msipoteane.
Mtoto wetu huyu,hawezi mzidi baba ukubwa
Ndoto za asubuhi hizo.
Mtoto wetu huyu,hawezi mzidi baba ukubwa
Msitishike kesho mnapigwa 4 tuuh na Aston villa