Ukizikumbuka zile 7-2 zilitudhalilisha kama bingwa mtetezi, unapatwa na hisia za revange ila huruma inakuja kwa kocha wao wa sasa kumdhalilisha inapobidi itakua ngumu...
FOOTBALL na mambo yake...
Huku Simba na Yanga mkataba oyayaa hawa walikataa rangi ya mdhamini hawa hawataki mabango... huku TT kule Biesla...