OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Kwani lampard ulimfunga game ngap na kikosi chake kilikuwaje?Arteta leo yupo 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 amuulize mwenzie amateur coach Frank Lampard aliishia wapi na vita uchwara dhidi ya Klopp.
YNWA
Nabaada ya kuwaita wamekusaidia nini?Arsenal Arsenal Arsenal ninewaita Mara tatu ..pigeni hizi kuku za kisasa ..ni tamu sana[emoji23][emoji23][emoji123]
Na waliwawakilisha kweli.Wanangu arse8 wanatuwakilisha vyema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment kama hizi huwa zinafurahisha sana, Arteta alipofeli ni wapi mkuu?Bdo na Steven gerad nae Frank alishindwa arteta nae kafeli
Swa mkuuu will Jr ngoja tuone Frank amekuta mazingira magumu sana amekaaa msimu mzima bila kusajiri wakati msimu huuu arteta ndio EPL Ndio katumia pesa mingi za usajir na alipofika tu alisajir ssa unataka kuniambia arteta amepitia changa moto gana? Kwan Frank alikuwa kocha mzeee Steven nae mzee vip xavi pirlo je wanatofauti gani na arteta ngoja tuoneComment kama hizi huwa zinafurahisha sana, Arteta alipofeli ni wapi mkuu?
Huwezi kumfananisha Arteta na makocha wengine kama Solskajaer / Lampard cuz Circumstances walizokuta kwenye timu zao ni tofauti, hata Xavi na Pirlo wamekutana na Mazingira bora kuliko Mikel. BtW Arteta is the youngest coach in the league na progress inaonekana.
Arteta has managed to give his side a top structure, timu aliyoikuta ilikuwa haiendani na the Idea behind, wachezaji wengi hawakuwa good Enough within the structure, ila Baada ya kupata baadhi ya wachezaji anaowataka na wanaoelewa mahitaji yake kimuundo nadhani unaona kinachotokea, the issue ni Experience & maturity sababu this is the youngest team in Epl.Swa mkuuu will Jr ngoja tuone Frank amekuta mazingira magumu sana amekaaa msimu mzima bila kusajiri wakati msimu huuu arteta ndio EPL Ndio katumia pesa mingi za usajir na alipofika tu alisajir ssa unataka kuniambia arteta amepitia changa moto gana? Kwan Frank alikuwa kocha mzeee Steven nae mzee vip xavi pirlo je wanatofauti gani na arteta ngoja tuone
Have a Good Sunday BROTHER
Huo ukuta wa chelsea hatari sana. Mechi 12 wamefungwa only goli 4. Jamaa wako vizuri sana.
Kikubwa Liverpool tunangooza kuwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji goli 35 si haba...Huo ukuta wa chelsea hatari sana. Mechi 12 wamefungwa only goli 4. Jamaa wako vizuri sana.
Ni noma na nusu mkuu.Huo ukuta wa chelsea hatari sana. Mechi 12 wamefungwa only goli 4. Jamaa wako vizuri sana.
Ila safu yenu ya uzuiaji ni utopolo. Yaani mechi 12 mmefungwa goli 11.Kikubwa Liverpool tunangooza kuwa na safu bora kabisa ya ushambuliaji goli 35 si haba...
Salah 11
Mane 7
Jota 5
Firminho 4
[emoji91][emoji91][emoji91]
Lazima iwe hivyo always timu inayoshambulia sana kwa kutumia wings, LB na RB lazima iruhusu magoli inshu inakuja nani anaondoka na points.. Hapo sasa ndio Liverpool inaonekana bora na kuupatia sana huo mfumo thus y TAA anaonekana kama genius wa hiki kizazi beki mweye assist za maajabu...Ila safu yenu ya uzuiaji ni utopolo. Yaani mechi 12 mmefungwa goli 11.
Yaani kwa ratio ya kawaida manake mna uwiano wa 0.9 kwa kila mechi lazima mruhusu goli
Duh!! Nyie mashabiki wa kops ni wasahaulifu sana, mmesahau mlivyokuwa na ukuta mgumu wa vvd season ile iliyopita mliochukua ubingwa plus safu nzuri ya ushambuliaji?Lazima iwe hivyo always timu inayoshambulia sana kwa kutumia wings, LB na RB lazima iruhusu magoli inshu inakuja nani anaondoka na points.. Hapo sasa ndio Liverpool inaonekana bora na kuupatia sana huo mfumo thus y TAA anaonekana kama genius wa hiki kizazi beki mweye assist za maajabu...
YnWa
Ukuta gani mgumu mzee maana huo msimu tulifungwa goli 33! Nachokuambia ni kitu kilekile cc tulifunga goli 85 so point ndo zinatubeba unakuta tunashinda 3-1 au 4-2... Lakini tunaondoka na points 3.. Liver haijawahi kuwa na mpira wa kundefence.. Hata siku moja toka enzi za kina Suarez na raheem liver inashinda goli nyingi ila ukuta ni wa biskuti...Duh!! Nyie mashabiki wa kops ni wasahaulifu sana, mmesahau mlivyokuwa na ukuta mgumu wa vvd season ile iliyopita mliochukua ubingwa plus safu nzuri ya ushambuliaji?
Kwenye ukweli semeni tu ukweli kuwa kwa sasa beki yenu ni dhaifu na sio mnajificha kwenye kichaka cha ushambuliaji bora.
Angekua ni bora mpaka sasa angebakia kuwa kocha wenu hayo alifungwo au kufunga ngapi ni dhahiri alifungwo sana mpaka Roman akamtimua mazima..Kwani lampard ulimfunga game ngap na kikosi chake kilikuwaje?
Smart execution...We are formidable brother. Last time out tulikuwa tu na lethargy.
YNWA
VvD has always been excellent. Mind you he has never lost a PL match at Anfield 😜.Smart execution...
Hivi baada ya VVD kufuzu kombe la dunia 2022 ni kama ameongeza ari na umakini aisee.
Jana he was brutal...
YNWA
Bwana wee he sure when playing at top level makes the difference pale defence and jana he was a class of his own really active when the game demanded... Was really impressed how he assisted dogo Tsimikas defence wise.. And boy like when he shout where to hold the line and jana were not caught sleeping at all we raised to the occasion in style...VvD has always been excellent. Mind you he has never lost a PL match at Anfield 😜.
The injury that kept him off for the whole of last season was a major setback and surely we wouldn't expect him to return akiwa form sana. But now he's getting back to where he was. A very commanding CB. Yule hata mimi nikipewa namba pale nicheze nae mbona tunatoa ma cleen sheets shazi tu.