Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Kombe bado lina ribbon za sky blue aka the Citizens, hao ndio timu ya kuwazidi na hatimae kuchukua kombe kutoka kwao aidha litakua na ribbon za Les Blues ama Red ya majogoo muda utasema.Kombe ni la Chelsea wewe na man city mtagombea nafasi ya pili na tatu
Mkuu kwani Leo ndiyo unaona kuwa mabeki wenu ni madhaifu? Hilo mbona lilikuwa wazi. Kuna siku niliwahi kusema Liverpool wanawashambuliaji wazuri ila beki hakuna.Tumepoteza Mchezo wacha tufocus kwenye next game.
- Kuna magoli mawili hatukustahiki kufungwa hivyo Backline yetu imekuwa dhaifu sana na Kipa ameshuka kiwango.
- Westham wamedeserve Points 3
Kabisa kufungwa mechi moja haimanishi kuwa kila gemu utafungwa. Mafowadi zenu wanatakiwa waongeze ufungaji wa magoli kuanzia tatu na kuendelea kwasababu mabeki wenu wanaruhusu sana magoli.Naked truth the better team won.
Whining wont win the league or any trophy mbali ni kupambana kwa mbinu zote.
Ki ufupi naona timu nyingi sasa wameshatujia aisee ni mwendo wa kaunta na kwa vile pale nyuma tunakua tumesogea sana kati basi mabeki wanakibizwa mpaka basi one key pass kama jana na tunafungwo...
Otherwise tumeteleza mechi ya jana imeshapita ishu sasa ni namna gani tunarejea kushinda mechi ijayo.
YNWA
Yes unatufuata na ndio maana wewe umepigwa....Unawafuata wakati mmetolewa jasho juzi?
Sawa sheikh yahyaKombe ni la Chelsea wewe na man city mtagombea nafasi ya pili na tatu
Hii 4 3 3 ndugu yangu ndio anatumia Pep miaka yote pale Manchester City na pia ndio anatumia Klopp hapa kwa majogoo kimsimgi ni mfumo unaotegemeana kuanzia mbele mpaka kwa kipa sasa ikitokea eneo moja paka pwaya basi ujue kipigo kipo...Kabisa kufungwa mechi moja haimanishi kuwa kila gemu utafungwa. Mafowadi zenu wanatakiwa waongeze ufungaji wa magoli kuanzia tatu na kuendelea kwasababu mabeki wenu wanaruhusu sana magoli.
All in all bado timu yenu nzuri na inamuunganiko mzuri.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni open sana msimu huu...Ligi ya msimu huu ipo wazi sana unless mpaka mwezi wa 12 mwishoni Ndio mbio za ubingwa zitaanza kuonesha uhalisia wake. Ila Man city, Chelsea na Liverpool baado ni title contenders YNWA
LC ya mwaka huu ni very weak, hata tukicheza under form tutawafunga tu, hapo Werner, Lukaku, Mount, Kante, Kova na Alonso watakuwa wote fitSiwezi kushangaa aisee leo tumepewa reality check ya nguvu sanaaa... Tumekua na bahati nzuri sana washindani wetu wanawai kucheza kabla yetu lakini badala hio bahati iwe ya msaada imekua ni balaa tupu..
Epl itarejea tena 20 November 2021 na mechi ya kwanza hio Jumamosi itakua ni Chelsea vs Leicester saa Tisa Unusu huku sisi Majogoo tukiwavaa Arsenal siku hio hio saa 2 usiku. Sasa usishangae Chelsea akakamatika na tukishindwa kutumia hayo matokeo to our advantage...
YNWA
Hapa kama vile walikuwa wanamfukuza kibakaBeki na kipa wowote matakatakaView attachment 2002618
Hapa ndio inadhihirisha beki ilivyo mbovu, wanakaa kuangalia utadhani wako jumba la sinemaCheki yanavyojipanga kama manambaView attachment 2002620
Hiyo ni still picture, ukienda kwenye real time picture huu mggu uliguswa tu wala hakukanyagwa huyo
Hapo alibaki VVD tu hao wengine walikuwa wapi, utadhani walikuwa wanamsindikiza bibi harusiBeki na kipa wowote matakatakaView attachment 2002618
Ile foul ilichezwa ila haikufikia level ya red card, serious attack yenye kuleta hatari kwa victim ndio inatolewa red cardMkuu Hata vvd alichezewaga vibaya refa na var wakasema sio faulo,Baada ya mechi anakili kuwa ilikuwa faulo na alitakiwa atoe kadi.
HAtuwezi kulala mika kwa sasa kwakuwa tumefungwa maana tutaonekana tunatafuta vizingizio .
Mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa binadamu mchungu. ile red card ya Reece James haikustahili