Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Hahahaha sisi tutapanga wakina Kepa wewe tuletee Salah tumnyoe ndevu.So Carabao Cup QFs
Chelsea, Sunderland, Westham, Liverpool, Arsenal, Leicester, Brentford and Spurs.
Hapa watuletee yeyote tu turuke nae.
Mkuu umeanza Ramli[emoji23][emoji23]Leo Rent Boys wanapoteza points
Can't say otherwise yaani Thiago ni bonge la MF pure Pep style la kwa hili la kua defensive minded sioni akichomoza aisee huku ukizingatia almost klabu zote alizopita hili ilikua sio moja ya kazi yake kuu..
Klopp main play ni win the balls upfront na kuanza mashambulizi fasta kabla defence ya wapinzani haija settle... Sasa kwa Thiago duuh kwanza jamaa kwa mazoea pia anapenda kujaribu pasi ngumu ngumu ambazo kwa kikosi chetu hua zinakwenda to waste kutokana na mfumo na wachezaji ku prefer being direct most of the times...
Kwa hii mechi ya kesho Thiago atulie tu maana Brighton wanahitaji wapewe mchakamchaka maana sio waoga hata wakiwa ugenini.. Tunahitaji kwenda nao kwa mahesabu makali sana... Ukitazama shot on goal na expected goals nadhani wapo juu yetu na goals conceded tupo sawa hivyo sio mechi ya kuwachukulia easy easy...pale kati Henderson, Jones, Keita...
YNWA
Mkuu umeanza Ramli[emoji23][emoji23]
Anyway adui muombee njaa tu , na wafungwe
Biriani Hahaha... Klopp hayo mambo kwanza hayaelewagi kabisa urembo mwingi hatuuhitaji...Liverpool haitaji Mido Mido za kucheza Samba au Tiktaka! Zinahitaji Mido aina Kante, Coutinho, KDB na the Fit Keita....
Lakini Mido aina ya Thiago, Joginho, Pogba wenye kupress with Pira biriani ni Changamoto kwa mfumo wa Klopp unaowaza kufika golini kwa mpinzani badala ya kupiga pasi.
Ndiyo Mana Coutinho Kawa Failed project kwa Barca kwasababu alishindwa kukabiliana na Tiktaka! Wenzake wanapiga pasi za kubembeleza lakini yeye akipata mpira anataka akimbilie golini akapige mashuti.
AmeenBwana wee kumbe gemu kali zina kuja kwa kasi ya 5G...
May the winning angels be with us.
YNWA
Huyu Morton awe sub ya Keita aisee...chini ya ualimu wa Klopp naona huyu dogo akiwa TAA mwingine.LFC v Brighton
Alisson, TAA, Konate, Van Dijk, Robertson, Henderson, Keita, Jones, Salah, Mane, Firmino.
Subs
Adrian, Gomez, Matip, Tsimikas , Oxlade Chamberlain, Morton, Minamino, Origi, Jota.
Wish granted.Leo nimuonee huruma Arsenal! Natamani ashinde ili awe juu ya Manure