Mkuu mbona hujatuzungumzia nasisi arsenal?- Rent Boys wanajigamba kuwa Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemfunga Mkiwa Arsenal.
- Manure wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemsajili Sancho.
- Man City wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu uwezo wa kufanya hivyo wanao.
- Liverpool hatujigambi kubeba Makombe yote kwasababu ni obviously uwezo huo hatuna, but tuna matumaini tu ya kuweza kubeba EPL au UCL.
Haya wacha tuone nini kitatokea kwa Hao WASHINDANAJI WATATU ambao kila mmoja anajigamba kubeba Makombe yote.
MY TAKE: Katika majigambo yao waelewe kuwa hakuna shared ya Kombe, ni lazima atabeba mmoja tu kati yao! Hivyo kuna Wawili kati ya hao Watatu wataibuka na kilio.
Mkuu inaonekana Una chuki kweli n Chelsea[emoji1787]....kwahyo unataka kuniambia kipindi kile mmechukua uefa na mlivyompigia chapuo vvd achukue ballon dor NI mashabiki wa Chelsea pekee ndo walikuwa wanabeza?Story za Rent Boys:
- Joginyo ana deserve uchezaji Bora na Ballon D'Or
Sababu zao:
- Joginho kabeba UCL
- Joginho kabeba Euro Cup
Mwaka 2019 mashabiki wa Liverpool tulipompigania VVD apate Ballon D'Or kwa sababu ameiwezesha Liverpool kubeba UCl
- Walituambia kuwa Makombe ni Collective achievement na sio Jitihada za Mtu mmoja hivyo hawezi kupewa Ballon D'Or kwasababu Liverpool imebeba Kombe, bali anayesahiki kupewa Ballon D'Or ni Messi kwasababu ndiye Mchezaji Bora.
Ikumbukwe kuwa Messi hakubebwa Kombe lolote.
SWALI:
- Je, Rent Boys wamesahau hoja zao za "Collective achievement"?
- Je, wamesahau hoja zao kuwa UCL & Uero Cup ni Mafanikio ya Timu nzima na sio Jitihada za Joginho pekee?
- Wanaonaje Balloon D'Or ikaenda tena kwa Messi au Lewando?
Rent Boys Wana safari ndefu kufahamu soccer
Unauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...?[emoji1787] Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu- Rent Boys wanajigamba kuwa Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemfunga Mkiwa Arsenal.
- Manure wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu wamemsajili Sancho.
- Man City wanajigamba Watabeba Makombe yote kwasababu tu uwezo wa kufanya hivyo wanao.
- Liverpool hatujigambi kubeba Makombe yote kwasababu ni obviously uwezo huo hatuna, but tuna matumaini tu ya kuweza kubeba EPL au UCL.
Haya wacha tuone nini kitatokea kwa Hao WASHINDANAJI WATATU ambao kila mmoja anajigamba kubeba Makombe yote.
MY TAKE: Katika majigambo yao waelewe kuwa hakuna shared ya Kombe, ni lazima atabeba mmoja tu kati yao! Hivyo kuna Wawili kati ya hao Watatu wataibuka na kilio.
Watu watajipigia mpaka mkome....Mkuu King Ngwaba nakusoma aisee.
Najiuliza tu itakua aje Salah, Mane na Keita January 2022 wanakwenda Afcon sasa itakua aje?
Achana na la kwenda Afcon je ikatokea majeruhi itakua aje kama juzi tu umeona Firmino kaumia je Origi ndio tutegemee atachukua majukumu ya ufungaji. Last season Jota alikosa zaidi ya mechi 10 kwa majeruhi hivyo nilitarajia Klopp anavyowatoa akina Shaqir basi tuone replacement.
Pia kuna lose of form kwa wachezaji kama alivyo sasa Firmino je hili pia Klopp halioni au FSG wamegoma..
Salah ndio key to our win in almost all competitions kwa sasa anahusika na ushindi kwa zaidi ya 80%.
Ki ufupi tutarajia kuona Hendo na Milner wakicheza strika pindi Mane na Salah wakitua Afcon.
Pale academy hatuna ready product ya kuja ku replace hao aidha wakiwa majeruhi au wakiwa Afcon hivyo kuingia sokoni ilikua haikwepeki.
Elliott ni winga sasa anacheza MF je baadae atasogea mbele kuchukua nafasi ya Salah, maswali ni mengi bila majibu.
Klopp anacheza karata kama atatoboa salama Mane na Salah wakiwa Afcon kuna mechi kama 3 hivi za Epl na pia kuna FA. Jambo anasahau wanaweza kurudi wakiwa majeruhi, corona au loss of form yaani msimu huu tunaanza ramli mapema sana kwamba wengine wapoteane huku sisi tubakie kwa sasa tunashinda huku wachezaji wasipate majeraha.
YNWA
Chelsea mtu akiahafika umri huo mkataba ni mwaka mmoja mmoja tu.Man Man
We will be Arsenal kabla ya 2023 ......Imagine 31 yrs anapewa mkataba wa miaka 2025 hii ndio tafsiri sahihi ya Liverpool ni stupid club.
Tutakuja na 4 3 2 1 akicheza Firmino namba 10 na lone striker akiwa Jota.Watu watajipigia mpaka mkome....
Huku hakuna maji ya bei rahisi wewe ..rudi kwenu huko kanywe maji ya kisima.Ivi hapa Arusha hakuna Maji ya 1Litre yapo ya 1.5L na 500mls tu?
Hili hadi Klopp anafahamu hakika.We are not title contender..
Tunapigania top 4 ..basi
Umeona Chelsea tunavyofanya biashara lakini?Transfer in numbers.
How your bought during the summer window...
View attachment 1918976
How your club sold players during 2021 summer window..
View attachment 1918977
Here's where it matters: what was the final net spend after factoring incomings and outgoings?
The top three teams for net expenditure remain unchanged from the spending chart, with Arsenal the most spendthrift club with a £131.8m net spend, followed by Manchester United (£103.7m) and Manchester City (£72.7m).
Hapa unachukua total ya kununua na total ya kuuza unapata jumla iliyotumika na kila timu.. Ina maana Liverpool msimu huu wa mauzo tumepata £24.5m.
Tumenunua mmoja kwa £36.0m minus mauzo £24.5m = £11.5m net spend by Liverpool this window.
View attachment 1918978
YNWA
Huyu anajitetea mapema ili wasipobeba kombe basi APATE cha kuzungumza. Hana lolote huyu, anabwabwaja tu hapa maana keshaona timu yake haifiki popote pumzi itakata mapemaUnauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...?[emoji1787] Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu
Msimu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Pamoja na yote bado mmeshikilia rekodi ya kusajili ma flop darajani kwa bei mbaya baadhi ni hawa hapa.Umeona Chelsea tunavyofanya biashara lakini?
CFC
Ila Klopp kuna muda anadema huyu Curtis Jones kwa alichoonesha last season ni wa kuachwa CL.?Liverpool Champions League Squad.
Goalkeepers: Alisson, Kelleher, Adrian
Defenders: Van Dijk, Matip, Gomez, Konate, Alexander-Arnold, Robertson, Tsimikas, Phillips
Midfielders: Henderson, Fabinho, Thiago, Milner, Keita, Oxlade-Chamberlain, Elliott
Forwards: Salah, Mane, Firmino, Jota, Minamino, Origi
Likely List B: Jones, N. Williams, Beck, Koumetio
YNWA
Huwezo hawana na lile kombe la epl walilobeba ni kuforceUnauhakika Liverpool hamjigambi kuchukua kombe Mzee...?[emoji1787] Mbona unawasemea wenzako...ukijaribu kufuatilia hata hapa nyuzi zilizopita kuna wenzako wamejitapa Sana wanachukua EPL msimu huu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Clarification.Ila Klopp kuna muda anadema huyu Curtis Jones kwa alichoonesha last season ni wa kuachwa CL.?
Anyway tuwe wapole tu. Tumeshika makali.