Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
Wewe jamaa una roho ngumu kwamba James hakuzuia goal scoring opportunity yaaani na hili unaleta ubishi...Ile game tulikuwa tunashinda ilikuwa yetu ile sema tu refaree ndo man of the match.
Its Pancho salama kabisa ndugu...Hello kops..
Nimepakumbuka Home hapa leo nimeona niwatimbie baada ya kuona performance yetu nzuri ya jana..
Pia wajuaji wa hapa walikuwa wanatuchosha wengine.
Captain Marvelous. What's good bro?
Don Clericuzio what's up bro?
Huu ndio ukongwe unaouongelea?!Tukiondoa ile penalty na Reece James kupewa Red ina maana Liverpool wangefungwa goli sio chini ya 3 kwenu na mbele ya mashabiki wenu
Hello kops..
Nimepakumbuka Home hapa leo nimeona niwatimbie baada ya kuona performance yetu nzuri ya jana..
Pia wajuaji wa hapa walikuwa wanatuchosha wengine.
Captain Marvelous. What's good bro?
Don Clericuzio what's up bro?
SureTupo Mkuu, performance ya jana ilikuwa nzuri, though matatizo yetu kwenye kiungo bunifu ya kupenyeza pasi kati naona kama tutaendelea nayo huu msimu.
Otherwise, it was nice show.
Aisee timu iko pungufu vile ,hii timu haina kitu ,hamna tofauti na Burnley nyie ....Dah! Yani jamaa wamewakung'uta mara 3 mfululizo lakini bado unapata ujasiri wa kuilaumu Liverpool?
Duuh...kwel mpira unawachambuzMkuu hapa kuna mahala nakupinga. Kama Chelsea ingekuwa wa kawaida naamini baada ya ile Red kard mngemfunga magoli mengi zaidi hata ya alivyo funga Man city dhidi ya Arsenal. Lakini kwasababu wewe huna plan wala nini ukashindwa kumfunga wakiwa 10 uwanjani.
Ebu niambie kati ya Chelsea na Liverpool nani ni wakawaida impaka hapo?
Ni kwema ndugu ryana fan.Mkuu habari rafiki Angu. Jana tumekutana hata hunishtui tuangalie mpira pamoja. But hongera sana kwa kutandaza kambumbu safi kabisa. Sema ulikosa umakini baada ya sisi kuwa mapungufu eti.
Baada ya ile Red nikakumbuka Man City dhidi ya Arsenal kutandikwa magoli 5. Nikakumbuka tena jinsi man city alivyokupelekea moto kipindi kile umepata red card. Nikasema tayari yale ya West Brom yanataka kutokea Anfield[emoji24][emoji24]. Kumbe Tuchel alishajiandaa kupambana na vijana wake Aidha wabaki hata pungufu lakini yupo tayari kwa mapambano.
All is well tukawadhibiti ipasavyo na kutoa draw ya one one. See u next match.
WanARUKa ruka kama digi digi[emoji23][emoji23]Hii timu haina meno ya kung'ata kabisa ,watu wameshapewa red card mnashindwa kupata point 3, mnaruka ruka tu uwanjan
Anatafuta mahala pa kuficha aibu aliyopewa na Mabingwa wa Ulaya..Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Yani jamaa wamewakung'uta mara 3 mfululizo lakini bado unapata ujasiri wa kuilaumu Liverpool?
Nakuelewaga sana mkongwe. Hizi timu zifuatazo Chelsea, Liverpool, Man City plus man u atakae onesha kiwango kizuri adi January ndiye atakae beba ndoo may.Ni kwema ndugu ryana fan.
Jana kabla ya ile kadi gemu ilinoga sana yaani ilikua proper Reds Vs Blues.. Tangu atue Roman darajani hua tukikutana hakuna masihara ni mchaka mchaka na jana was no exception mlijipanga vyema kutotoka bila pointi Anfield na hakika mlifanikiwa nadhani baada ya gemu uliona vijana wako walivyogonga tano kuashiria job done..
Kuchukua ubingwa miaka hii inakulazimu pia kuwafunga wanaojua ama washindani wako maana EPL kwa sasa ushindani unazidi kuimarika kila kukicha hivyo pointi 3 zinasakwa kama ndio gemu ya mwisho.
Kwa sasa binafsi nachukulia gemu after gemu kwamba tupo kuleta ushindani kuchukua taji aisee japo naona wengi ma pundits wanawapa Manchester City, Chelsea kama most likely destination but have to aim for the top honours sana tu.
Ile kadi i felt sorry for James he was in the right place but used his hand to prevent the goal which as a scoring opportunity the law says ni straight red card...
Cant picture what were the words Thomas told his boys half time maana khaa walirudi with a plan..
Ki ufupi Chelsea do know how to kill the game sio gemu ya jana tu mbali that in thier DNA so binafsi i knew we had a mountain to climb kipindi cha pili.
Tuna pointi 7 with 35 games to play hivyo its still damn early to predict how the games will unfold so lets just enjoy as much as we can then come January 2022 tutaanza kuona nani anakwenda kuchukua kombe mazima.
YNWA
Mkuu ile kadi siilaumu that was direct Red card. Nakumbuka kuna gemu tulicheza na Arsenal tulimcharaza goli Sita. Chambalein alipush mpira iliyopigwa na Hazard ikatolewa red card kwa Gibbs. So that was directly Red card bila kipingamizi.Kadi ya James..
The law states: For purposes of determining handball offences, the upper boundary of the arm is in line with the bottom of the armpit. Not every touch of a player’s hand/arm with the ball is an offence.
It is an offence if a player: Deliberately touches the ball with their hand/arm, for example moving the hand/arm towards the ball.
YNWA
Ila ule mpira ulianza kugonga kwenye paja then ndio ukaenda kwenye mkono, as you know kwenye situation za vile huwez weka mikono yako nyumaKadi ya James..
The law states: For purposes of determining handball offences, the upper boundary of the arm is in line with the bottom of the armpit. Not every touch of a player’s hand/arm with the ball is an offence.
It is an offence if a player: Deliberately touches the ball with their hand/arm, for example moving the hand/arm towards the ball.
YNWA
Usijitete kwa hilo...Aisee timu iko pungufu vile ,hii timu haina kitu ,hamna tofauti na Burnley nyie ....
Mbwatukaji tu huyo. Wao waliishindwa Leeds, hata draw hawakutoa watu wakiwa pungufu hapa analeta kende zakeUsijitete kwa hilo...
Msimu uliopita Leeds kamfunga man city akiwapungufu na red card...wewe umeshindwa nn