kama kanote na kabak watasajiliwa basi matip na gomez waondoshwe, tubaki na Nat, Rhys, sep kama understand then hao wawili plus vvd utakua ukuta wetu..... but i guess hatuwezi sajili kabak na kanote wote wawiliPamoja ndugu.
Kanote kutoka RB Ujeremani ndio mazungumzo yanaedelea. Jamaa wanataka cash Liverpool wanataka walipe kwa awamu. Ishu iko hapo kwa sasa naamini kwa vile dogo kashakumbali kuja kwetu watapata break through.
Yves kutoka Brighton baada ya Gini kutimka ni rasmi sasa Liverpool watatua kwake mazima. Pazuri ni kwamba Arsenal ni kama wamejiodoa kuwania saini yake.
Kabak naona 50 50 kubakia Liverpool japo Klopp alisema ataongea nae ligi ikiisha. Dogo Kabak kasema ameridhia kubakia Liverpool hivyo sasa ni Liverpool kutoa mpunga around £18m ili kumnasa mazima.
Adrian wanampango wa kumpa tena mkataba wa mwaka mmoja [emoji1552][emoji1552][emoji1552]..
YNWA
Kama wewe ulivyobabuliwa bao SabaChelsea haina maajabu yoyote mkuu.ndio maana pia Aston kakaa nyuma tu chelsea muda wote mpira wanaowao ila wanashindwa kuwafunga .
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😂😂😂😂😂Na Allison atacheza nafasi 2 msimu ujao ..
Waletee..[emoji3577]View attachment 1796071
Hivi hawa FSG wanaweza kweli kutoa £100m+ na mshahara wa £400,000 kwa wiki 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿...[emoji122][emoji38][emoji116]View attachment 1796062
Mkuu Brewster alikua na haraka mno ya kutaka kutoka sasa Klopp alimwambia dogo wewe bado nenda kwa mkopo tena Championship akawa mbishi kiasi aka force kuodoka kwenda Blades ambapo i guess hajafunga hata goli moja EPL hivyo huyo kwa sasa atulie Championship panamfaa sana. He is still young ana future powa kabisa.kama kanote na kabak watasajiliwa basi matip na gomez waondoshwe, tubaki na Nat, Rhys, sep kama understand then hao wawili plus vvd utakua ukuta wetu..... but i guess hatuwezi sajili kabak na kanote wote wawili
milner wampe asante ya utumishi na mkono wa kwaheri, gini ndio huyo, keita na ox biashara ifanywe tu wasepe!
jones regular, elliot arudishwe, and i wish brewster afanikiwe anfield......
big shaq, origi, and one or two of the front 3 wauzwe, tununue wawili wapya!........
Mbappe[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Huyu jamaa namkumbali sana. On his day he is the best.Na Allison atacheza nafasi 2 msimu ujao ..
Waletee..[emoji3577]View attachment 1796071
dah ila brendan kapotea vibaya sana
Yuko europa ambayo arsenal anaiota tu....kaondoka na fa cup yaan hata cc katupiga bao kimtindo msimu huu tumeondoka kapa bila kitu kumbuka anafundisha leceister ambayo nayo kwa majeruhi hatuchekan nao msimu huudah ila brendan kapotea vibaya sana
Usiogope, ndio muda wa kuzichambua tetesi huu..Hivi hawa FSG wanaweza kweli kutoa £100m+ na mshahara wa £400,000 kwa wiki [emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552]...
Ukumbuke wamepata hasara around £46m mwaka ulioisha wa fedha.
Huyo Kanote chaguo la kwanza la Klopp release clause yake ni £34m na bado FSG wanataka punguzo na extended payment design walivyowapata Thiago na Jota.
YNWA
Sawa ndugu.Usiogope, ndio muda wa kuzichambua tetesi huu..
YNWA
RB Leipzig expect Ibrahima Konate to join Liverpool this summer and are waiting for official confirmation that they will pay his €35m (£30.2m) release clause.[emoji599] NEW: Liverpool will complete the signing of Ibrahima Konaté soon. Personal terms have been agreed since April until June 2026. #awlfc [@FabrizioRomano] https://t.co/CO30b3V7Jo
HERE WE GO
Biashara asubuhi kabla wengi hawajaona fursa na bei kupanda tumia fursa mapema