Kipofu umeona mwezi imekuwa shida,we jogoo juzi tu ulikuwa unaumwa kideli hata uhakika wa kuingia top4 ulikuwa huna kabisa kweli leo nimeamini KUKU ni KUKU Jogoo ni jina tu, shame to you!Umeaona eeeeeh hata bado naumia sana manure kumaliza juu yetu
Timu ya kuungaunga iliyowatoa wababe wenu Real Madrid!
Huu uzi umerudi kuwekeana matumaini hewa ,na kupongezana upuuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila niwambie tu ,hakuna timu mbovu kwa sasa kama Liverpool EPL ,kama mkirudi na hiki kikosi cha vvd,Gomez,robo, salah ,mane,boby, ...!
Mnaenda kushuka daraja na klop atafukuzwa mapema sana ..!
Ukitazama jinsi tulivyofanya Vizuri kwenye hizo games hutoona sifa akipewa Mchezaji yoyote kuwa ndiyo chachu ya ushindi.
But ingelikuwa ndiyo Captain alitoka injury akacheza hizo mechi zote na tukapata matokeo hayo basi ungeona stats za kila rangi kuwa tumeshinda kwasababu ya Captain na bila ya Captain tusingeshinda, unhesikia tu "SKIPPER" aibeba Timu.
Lakini Mungu ni Fundi ameamua Skipper Timu ikiwa nafasi ya 10 hatimae imemaliza ya 3 bila ya Skipper.
Take that to the bank....Confirmed. Jurgen freaking Klopp is a miracle worker.
In arguably our worst season of recent years, we have not only finished 3rd but 5 only points behind the "best" Man United team since Fergie's exit.
Tell you what? Enter season 2021/22 with VVD back in the fold, the trophy swoop (EPL, UCL, USC & FCWC) at Anfield will become the order of the day again!
Pamoja ndugu.Come on you REDS
boss tuzid kupeana updates za usajili kuanzia tetesi mpaka na umbeya mwingine mwingine wa sajili.
Msiwe mnakimbilia kupost humu ndani ili hali mkijua mmetoka kuvuta bangeHuu uzi umerudi kuwekeana matumaini hewa ,na kupongezana upuuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila niwambie tu ,hakuna timu mbovu kwa sasa kama Liverpool EPL ,kama mkirudi na hiki kikosi cha vvd,Gomez,robo, salah ,mane,boby, ...!
Mnaenda kushuka daraja na klop atafukuzwa mapema sana ..!
[emoji122][emoji38][emoji116]Kudos to the boys job well done despite all the injuries we have incurred in this ended season we have finished a cool 3rd position... I will take that with BIG SMILE.....
Now we go to June major Rebuilding with a bonus of playing in Champions League nexr season...
A very big thanks to Allison he has time and time again saved us big points..
Most improved team since March has to be us.. Momentum is back and the feel good feelings around the club is back..
With Champions League we will attract top talents like Yves, Kanoute, Aour, Patson Daka nk...
Whats a season we have been through shits, survived to be in Top 4 by a whisker..
Klopp and the boys off to holiday with lots to re evaluate where we are as a team and where we are heading from here...
Edwards kazi kwake sasa kukamilisha usajili mapema kusudi vijana wapate pre season ya kutosha.
FSG lazima waweke ela yaani EPL hakuna kubahatisha bila kuwekeza tutaambulia hivi hivi nafasi za ushiriki na sio kushinda.
Good kuwaona Gomez na VVD wakiwa on top to recovery na pazuri hawashiriki Euro 2020 ili wazidi kujiweka fit kwa EPL 2021- 2022...
Kwa mashabiki wenzangu wa hapa JF watu wangu wa nguvu sanaa tupo pamoja cheers kwa kusimama na timu umekua msimu wa maumivu na furaha and as they say mwenye kucheko cha mwisho ndio mshindi...tumetimiza ndoto yetu ya kucheza UCL next season.
Epl 2021 - 2022 A luta continua...
YNWA
Sema hii timu ina maajabu yake ya kipekee Sana .
Na Allison atacheza nafasi 2 msimu ujao ..Pamoja ndugu.
Kanote kutoka RB Ujeremani ndio mazungumzo yanaedelea. Jamaa wanataka cash Liverpool wanataka walipe kwa awamu. Ishu iko hapo kwa sasa naamini kwa vile dogo kashakumbali kuja kwetu watapata break through.
Yves kutoka Brighton baada ya Gini kutimka ni rasmi sasa Liverpool watatua kwake mazima. Pazuri ni kwamba Arsenal ni kama wamejiodoa kuwania saini yake.
Kabak naona 50 50 kubakia Liverpool japo Klopp alisema ataongea nae ligi ikiisha. Dogo Kabak kasema ameridhia kubakia Liverpool hivyo sasa ni Liverpool kutoa mpunga around £18m ili kumnasa mazima.
Adrian wanampango wa kumpa tena mkataba wa mwaka mmoja [emoji1552][emoji1552][emoji1552]..
YNWA
Huu uzi umerudi kuwekeana matumaini hewa ,na kupongezana upuuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila niwambie tu ,hakuna timu mbovu kwa sasa kama Liverpool EPL ,kama mkirudi na hiki kikosi cha vvd,Gomez,robo, salah ,mane,boby, ...!
Mnaenda kushuka daraja na klop atafukuzwa mapema sana ..!