OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Wewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.Wewe naona huu uzi wa Liverpool sio wako labda umekosea tafuta uzi wa Gor Mahia, kauwa nini Keita na Origi? Origi ana bahati hata kuitwa mchezaji wa Liver kiwango chake huko Fulham labda Keita yeye kila siku yuko Hospital tu. Mbona hakuuwa kipaji na Wiln, Mane. Gomez na wengine unaweza unacheza huwezi utakalia bench tu. ondoa ujinga wako tafuta team umchukue na origi.
Keita kila siku anaumia anacheza mechi 2 na 5 kaumia hakuna ubaguzi wa rangi ingekuwa ubaguzi wala asingemnunua Klop ndio kamleta pale ni shida fitness yake majeraha yatampoteza hata Oxy majeraha ni shida. Hakuna ubaguziWewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.
Mpambane na Leicester sasaView attachment 1790202
Tunaomba na Kuabudu na kufunga novena, Aston Villa ashinde mechi ya mwishoTunaombea ushindi Leicester game ya mwisho dhidi ya Spurs.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu sisi Hadi UEFA wenyewe washapitisha kuwa Chelsea msimu ujao atacheza na kufika final ..Sasa mom na wewe ni nani tubishe?Tunaomba na Kuabudu na kufunga novena, Aston Villa ashinde mechi ya mwisho
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Naona nafasi ya tatu inatusu mechi ya mwisho endapo tunatoka salama hapa.Mpambane na Leicester sasaView attachment 1790202
Msimu huu pale mbele hakuna mwenye afadhali yaaani wote finishing hovyo kabisa.Hizi nafasi tunazo kosa hizi tunaweza zijutia baadae
Kwani Mkuu Ollachuga Oc ulisajili vile upambanie nafasi ya nne au uchukue ubingwa EPL huku ukituaminisha Lampard ni kocha bora kabisa...Leo Liverpool anapambana kumaliza top four!!! Ama kweli dunia inaenda Kasi Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hio Rudiger alikua hapangwi na Lampard kwa sababu ya ubaguzi wa rangi?Wewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.
Naona nafasi ya tatu inatusu mechi ya mwisho endapo tunatoka salama hapa.
YNWA
Jumapili tarehe 23 kila mmoja atajua nafasi anakomaliza msimu.Kwahiyo huyo alie juu yako yeye atabaki hivyo hivyo?
Katupia huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duu Chamberlain tena.
I hope leo ataamka maana msimu huu simwelewi kabisa.
YNWA
Hahaha goli la kwanza msimu huu.Katupia huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]