1.Ni furaha kumpiga nyumbu kwao.
2. Ni furaha kuiona pressing tena.
3. Ni furaha kumfunga nyumba 4.
4. Ni furaha kurudi top kuelekea uefa.
Ni furaha kwa sababu kwa muda hatukuwafunga kwao
Ni furaha kwa sababu walifanya fitina mechi ya kwanza ili
(a) city asibebe ubingwa kwa kufungwa na sisi
(b) leicester aongeze gap ya kutuacha ili tusifuzu CL.
(c) Wao wajiandae kutukamia ama sare au watufungu.
Ile 1st pressing hata pep anaiwaziaga kudeal nayo.
Lets hope for the best.
Pamoja na yote maneno amejishushia heshima kwa kops.