mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Klopp ana tabia ya kutengeneza timu bora anachukua ubingwa vipindi kadhaa then timu inapotea hata top4 hashiriki, lastly anafukuzwaLiverpool
System mbovu, Wachezaji wabovu,
NB. Sio wote kuna muda unamuwaza klopp kuna muda wachezaji.
YNWA
Khee mpya hii sijasikia mkuu ..imekuaje Tena, Ina maana UEFA mashindano ndo basi Tena? Hiyo USL inatofauti gani na UEFA?Acha umbumbu wewe chelsea mmepigwa ban ...
Uefa imestop kwa iyoo team zote zimezojiunga na hiyo super league
Man city
Real madrid
Chelsea
Zimetolewa kwenye mashindano ya uefa
Psg ndio hajasaini huo ujinga so yeye ndio anaenda kupewa ndoo ya uefa this season ...
Mmesaini kujoin super league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu em nieleweshe kuhusu hii USL sijaelewa ni ligi mpya au ni nini? Na inaanza msimu upi kufanya kazi? Ina maana UEFA ndo basi Tena au?!Mkuu ishu ngumu aisee. Fifa na UEFA wanasema kwenda mbele watawapiga ban wachezaji wa vilabu vitakavyoshiriki hii ligi mpya. Ina maana wachezaji watakua hawashiriki kombe la Dunia, Euro, Afcon nk lakini pia upo uwezekano klabu zikapigiwa Ban kushiriki ligi za ndani kwa mfano EPL Liverpool itakua haishiriki. Pia serikali nayo itawanyina vibali vya kazi wachezaji wa nje wanaoshiriki hii Ligi. Yaaani ngoma bado ngumu.
Upo sahihi Uefa ya sasa ki mkwaja wapo chini sana ukilinganisha na hawa Super League. Na kwa vile kuna kikao cha Uefa Champions League watatoa statement baadae kuhusu hili.
Hawa ma Pundits wao wanasema hawapo against uboreshaji wa Uefa ama Ligi mpya mbali iwe inclusive kwa timu zote kuleta views, mashabiki nao walete views, serikali, wachezaji nao wasikilizwe nk.
YNWA
Kumbe muda wote unapayuka humu hujui kinachoendelea ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khee mpya hii sijasikia mkuu ..imekuaje Tena, Ina maana UEFA mashindano ndo basi Tena? Hiyo USL inatofauti gani na UEFA?
mkuu hii format ya sasa haiwatendei haki wakongwe, wenye ucl yao (barça,madrid, liver,utd,bayern, juve, ac) hawa wanataka kila mwaka wawe wanashiriki hii michuano maana wao ndio wenye majina na waingiza pesa!Hahaha its man eat man society ndugu.
Survival of the fittest elimination of the weakest.
Hawa JP wanataka kuleta mambo yao ya uwezekazaji wa Ki America zaidi na washachungulia wameona ela ipo ya kutosha kwenye soka ndio maana hata timing yao imelenga kipindi hiki klabu zipo hoi kipesa yaaani hakuna mwenye timu atakataa huu mkwaja aisee.
Ishafahamika hii kazi kubwa kufanikisha hili imefanywa na Ed Woodward wa Manchester United.
Ngoja wapambane wenyewe sie ki bongo bongo yetu macho. Ila to be honest naipenda UCL ilivyo sasa kama shabiki kama ni maboresho ifanyiwe hio hio na sio break way kwa kua na monopoly na Ligi Mpya.
YNWA
Ndomana namtilia mashaka akisha kariri team ndo basi tena mpaka waliopo benchi wanaondokewa na hali ya kimchezo.Inasemekana Klopp hua ana tatizo la kuwaamini baadhi ya wachezaji na inamchukua muda kidogo kuwapanga kikosini tazama mpaka pale situation itamlazimu mchezaji husika kupangwa. Tazama kwa Fabinho, Robbo, Jota, Nats nk wote hao hawakupata dakika kirahisi walisota benchi pamoja na kujituma mazoezini.
Hivyo suala la Nats kutopata nafasi pale alipohitajika ili aidha Hendo ama Fabinho acheze MF is down to Klopp. Hii mbio ya Top 4 kua hatuna uhakika is down to Klopp na his squad selection tuwe wakweli hata yeye amepwayasana msimu huu aidha lile pigo la VVD lilimvuruga ama hakutegemea kabisa hii anguko la Liverpool msimu huu.
Sokoni huu ndio muda sahihi wa kununua wachezaji kwani madhara ya Covid bado yamezikamata timu nyingi na bei za wachezaji sio kama zamani unless kwa specifical talent kama Haland au Mbappe nk.
Kwa kutegemea ile protocol ya FSG sell to buy kwa kweli tutafeli mapema kabisa. Kwa mfano Origi sioni klabu ikipata hio ela wanayosema ya £20m sio zama hizi na kiwango alichonacho kwa sasa.
Wafuatao naona soko linawahusu. I guess kwa hizi bei wataweza kuodoka na kuacha nafasi kwa usajili mpya na payroll ipumue.
Origi £10m
Woodburn £3m
Ojo £3m
Grujic £8m
Wilson £8m
Ox £15m
Shaqir £10m
Adrian free.
Keita £20m
Milner £4m or free.
Rhys loan.
Gini free.
Kwa sell to buy labda mmoja wao hawa front 3 atatolewa kafara
Salah £100m
Mane £80m
Firmino £30m.
Come on Edwards tu sapraizi na usajili wa kueleweka this June 2021.
YNWA
Tunawaza sawa ila kwa sasa nimeelemea zaidi kwa KloppLiverpool
System mbovu, Wachezaji wabovu,
NB. Sio wote kuna muda unamuwaza klopp kuna muda wachezaji.
YNWA
Klopp ni tatizo kubwa sana Liverpool. Hajazoea hii nafasi alipo sasa. Ni kama amechanganyikiwa aisee. Hivi kweli unatafuta ushindi unamtoa Mane na kuleta joker Ox nk like serious.Ndomana namtilia mashaka akisha kariri team ndo basi tena mpaka waliopo benchi wanaondokewa na hali ya kimchezo.
Ikitokea bahati kapangwa inakua kama mtu mpya kwenye team.
Naamini team bado ni nzuri mwalimu ndo kashindwa
Mkuu hakuna mwenye shinda ha hilo mbali la ukubwa wao ila sasa kushiriki UCL isiwe hisani you have to earn its man on the field and not otherwise.mkuu hii format ya sasa haiwatendei haki wakongwe, wenye ucl yao (barça,madrid, liver,utd,bayern, juve, ac) hawa wanataka kila mwaka wawe wanashiriki hii michuano maana wao ndio wenye majina na waingiza pesa!
na pia wanataka share kubwa ya faida wawe wanapata wao kwa sababu wao ndio vivutio,......... ni kama big six (actually ni pool na utd) pale epl wanavotaka kupata share kubwa ya faida bila kujali perfomance yao msimu husika ikoje.....
vyovyote iwavyo, wakongwe watashida hii vita, ndio mana ukifuatilia mwanzoni walikua wanataka timu zenye historia ya CL zipewe upendeleo wa kushiriki kila mwaka (hapa mpk ajax alikua included)
kwangu naona wako sahihi, haiwezekani AC Milan acheze europa huku spurs au city akicheza CL na kufaidi pesa zote wakati CL wakiosaidia kui-brand ni MILAN
Hapo kwa Milan hapana, team kama haiwezi pambana uwanjan kwa nini itafutiwe upendeleo,mkuu hii format ya sasa haiwatendei haki wakongwe, wenye ucl yao (barça,madrid, liver,utd,bayern, juve, ac) hawa wanataka kila mwaka wawe wanashiriki hii michuano maana wao ndio wenye majina na waingiza pesa!
na pia wanataka share kubwa ya faida wawe wanapata wao kwa sababu wao ndio vivutio,......... ni kama big six (actually ni pool na utd) pale epl wanavotaka kupata share kubwa ya faida bila kujali perfomance yao msimu husika ikoje.....
vyovyote iwavyo, wakongwe watashida hii vita, ndio mana ukifuatilia mwanzoni walikua wanataka timu zenye historia ya CL zipewe upendeleo wa kushiriki kila mwaka (hapa mpk ajax alikua included)
kwangu naona wako sahihi, haiwezekani AC Milan acheze europa huku spurs au city akicheza CL na kufaidi pesa zote wakati CL wakiosaidia kui-brand ni MILAN
Mkuu hii ni ESL kirefu chake ni European Super League sio USL.Mkuu em nieleweshe kuhusu hii USL sijaelewa ni ligi mpya au ni nini? Na inaanza msimu upi kufanya kazi? Ina maana UEFA ndo basi Tena au?!
thats why wanataka ku-protect status quo,.......Mkuu hakuna mwenye shinda ha hilo mbali la ukubwa wao ila sasa kushiriki UCL isiwe hisani you have to earn its man on the field and not otherwise.
Je wajua Big 6 ya miaka ya zamani before 80s sio hawa wa sasa. Who knows may be Big 6 ya 2040 itakua again Wolverhampton, Burnley, Aston Villa nk.
Muda mchache mambo ni mengi.
YNWA
bado hujaelewa mantiki ya SL, wao wanataka timu waanzilishi wasiondolewe kwenye mashindano (wanalinda brand walizojenga kwa miaka mingi sana),Hapo kwa Milan hapana, team kama haiwezi pambana uwanjan kwa nini itafutiwe upendeleo,
Leo hii game ya man city dhid ya salzburg inaweza ikawa na mashabiki wengi kwenye viewing tofauti na game ya ac milan vs lille
Team zinabidi zioneshe ukubwa wao uwanjani na sikupitia historia
Imagine team kama leic leo labda inachukua pl je wanaenda wapi baada ya hapo,
Kutakuwa hakuna maana ya league na hiz cup maana hata uchukue league or umalize ndani ya top 4 hauqualify kwenda popote
Maana nzima ya league inakuwa ishapotea
Lep hii watu wanainvest ili wachukue league n wafudhu ucl ili kuwashawishi player kujoin
Nimeeilewa , hapo nilikujibu uliposema haiwezekani milan acheze ueropa wakat spurs na city zikicheza uclHapo kwa Milan hapana, team kama haiwezi pambana uwanjan kwa nini itafutiwe upendeleo,
Leo hii game ya man city dhid ya salzburg inaweza ikawa na mashabiki wengi kwenye viewing tofauti na game ya ac milan vs lille
Team zinabidi zioneshe ukubwa wao uwanjani na sikupitia historia
Imagine team kama leic leo labda inachukua pl je wanaenda wapi baada ya hapo,
Kutakuwa hakuna maana ya league na hiz cup maana hata uchukue league or umalize ndani ya top 4 hauqualify kwenda popote
Maana nzima ya league inakuwa ishapotea
Lep hii watu wanainvest ili wachukue league n wafudhu ucl ili kuwashawishi player kujoin
Jordan Henderson has called for an emergency meeting between Premier League captains
At least now we agree even them pundits agree Klopp effect has made us whats we are now and yets the Yankees think they are the movers in this club that they can video call and agree to change the usual stuff without even consulting the real owners of this clubs..Carra: "If Klopp left, Liverpool fans would have those owners out within a week. They would tear that stadium down. Those owners will not know what has hit them if Klopp leaves. That man is the most powerful man at Liverpool Football Club."
View attachment 1758298
Mkuu nadhani hujapitia kwenye online papers tofauti za Majuu.thats why wanataka ku-protect status quo,.......
in reality mechi zinazoingia pesa mingi CL ni zile za wakubwa tu na sio hawa kina atalanta sijui spurs sijui wofsburg n.k........ sasa inakuaje wao waingize pesa mingi halafu mgawo wapate sawa.? au wazidiwe kisa tu hawajafuzu hatua inayofuata.....?
ndio mana nakwambia watashinda hii vita coz they have power, ukitaka kuthibitisha hili just imagine EPL bila liver, utd, arsenal, Chelsea kama kuna mtu ataenda kibanda umiza kutazama, au kama kuna kampuni itaweka pesa zake bila hao miamba kuwepo........
au just imagine CL bila Liver, utd, juve, Ac, madrid, Barca kama kuna kampuni itaweka pesa zake, si itageuka europa nyingine tu hii........ thats why hawa vigogo hawawezi kuadhibiwa and they will get their way!
hata FIFA hawawezi kusema lolote zaidi ya hizi kelele wanazofanya, maana nani atawekeza pesa kwenye mashindano yao wakati wachezaji wakubwa wote hawashiriki? nani atataka kujihusisha nao wakati majina makubwa ya wachezaji yamekua banned.......?