Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MILNER - FABINHO - GINI wote ni Wakabaji na ndiyo Viungo wanaotakiwa kuwachezesha Mane, Ni na Salah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu mbona kama defence na MF walicheza vyema huku front 3 wakiwa hovyo kabisa. Gemu ya mtoano huhitaji kupata nafasi nyingi mbali ni zile chache unazopata ufunge na sio kingine. Na jana vijana wetu waliacha shooting boots nyumbani.

Pamoja na yote kipa wa R. Madrid alistahili MOTM jana maana alikua mahala sahihi wakati sahihi.


Washambuliaji nafasi walipata nafasi murwa sana lakini waliishia kujishika kichwani. Pathetic.

YNWA
 
Liverpool Player ratings vs Real Madrid.
Liverpool: Alisson (7), Alexander-Arnold (7), Phillips (7), Kabak (6), Robertson (6), Fabinho (7), Milner (8), Wijnaldum (7), Mane (6), Firmino (6), Salah (5).

Subs: Jota (6), Thiago (6), Shaqiri (n/a), Oxlade-Chamberlain (n/a).

YNWA
 
Hii timu inazidi kupotea ...

inaenda level za kina saton na burnely huko..


Miaka 30 tena ,kuja kuchukua PL..
 
Hivi nyie makombe yenu so ndo Yale ya UEFA na EPL!! Kwaio Sasa mnapambania kombe gani? Maana zile Mickey mouse cup mnawaachiaga man city na Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Timu haina cha kujadili ni kusema tu ni mbovu tuondoshe Wazee na Wasio na uwezo tulete Wachezaji wa kutupatia Matokeo.
Wewe Hadi sasaa ujajibu swali langu ..em nope mapendekezo fainal atacheza nani Kari ya man city au/na psg vs Chelsea??

Wewe unaona kabisa Kati ya psg na man city nani anastahili kukutana na Chelsea a.k.a The Pride of London.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Fainali tunajua ni PSG Vs Real Madrid
 
Liverpool have had 139 shots at Anfield in 2021 and only scored 3 goals. (Stat via BT Sport)

Watu walijitahidi kupamba Mavi maua.
Sasahivi wame hibernate lakini subiri siku watakayoibuka wataanza kukusifia Masanamu tuliyonayo kuwa ni Mabonge ya Wachezaji.
Hii Timu inacollapse.
 
We will boss.
But klopp sometimes dah.! Yule Shaqiri ujue ni mtu sana basi tu.

Akili yangu inanituma TAA apelekwe mid his natural role. Nimemuona vyema kwenye line up ni RB kucheza hasa kushambulia unaweza kusema ni AMF he tries to cross, to penetrate long balls, to shot where it due.

Nafikiri ameimprove baada ya kupoteza kiwango kwa kipindi kirefu. Yeye na faby nawaona wapo njema.

I wish to see VVD & PHILLIPS partnering next season . Phillips one of my top top performer in last 6-7 games solid in air win high balls (aerial duals), he has confidence, he is a good passer, good ball controller.

Tusubiri tuone signings tu ndio tuanze kusema.
Kwa sasa our eyes to CL.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…