Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Sad Man.kama wangeli mtaka mane tungewapa aise FGS katika kosa wasijekufanya ni kumuuza SALAH wasithubutu kabisa. Kupata mshambuliaji wa kuoffer goal anazofunga Salah EPL kwa sasa ni ngumu sanaaaaaa.
Aende tuGossip Mill.
PSG wanamtaka Salah kuchukua nafasi ya Mbappe. Upo uwezekano mkubwa sana Mbappe kuhamia Real Madrid na PSG wanaamini Salah ndio mchezaji pekee anaewafaa kama replacement ya Mbappe.
YNWA
Yani nyie hata Europa mnaweza mkakosa.Possible. Mechi mbili za mwisho zilimpeleka united na chelsea CL.
Focus Concetration tusipate injuries yes we can make it... mechi vs Wolves Aston inaonesha atleast moral and fightimg spirit imeongezeka...
Zile mechi tano za home defeat ndio zinatutoa jasho huku mwishoni...
I believe we can make it.
Mane labda 30 app Tena kwa upendeleo.Inasemekana Klopp hua ana tatizo la kuwaamini baadhi ya wachezaji na inamchukua muda kidogo kuwapanga kikosini tazama mpaka pale situation itamlazimu mchezaji husika kupangwa. Tazama kwa Fabinho, Robbo, Jota, Nats nk wote hao hawakupata dakika kirahisi walisota benchi pamoja na kujituma mazoezini.
Hivyo suala la Nats kutopata nafasi pale alipohitajika ili aidha Hendo ama Fabinho acheze MF is down to Klopp. Hii mbio ya Top 4 kua hatuna uhakika is down to Klopp na his squad selection tuwe wakweli hata yeye amepwayasana msimu huu aidha lile pigo la VVD lilimvuruga ama hakutegemea kabisa hii anguko la Liverpool msimu huu.
Sokoni huu ndio muda sahihi wa kununua wachezaji kwani madhara ya Covid bado yamezikamata timu nyingi na bei za wachezaji sio kama zamani unless kwa specifical talent kama Haland au Mbappe nk.
Kwa kutegemea ile protocol ya FSG sell to buy kwa kweli tutafeli mapema kabisa. Kwa mfano Origi sioni klabu ikipata hio ela wanayosema ya £20m sio zama hizi na kiwango alichonacho kwa sasa.
Wafuatao naona soko linawahusu. I guess kwa hizi bei wataweza kuodoka na kuacha nafasi kwa usajili mpya na payroll ipumue.
Origi £10m
Woodburn £3m
Ojo £3m
Grujic £8m
Wilson £8m
Ox £15m
Shaqir £10m
Adrian free.
Keita £20m
Milner £4m or free.
Rhys loan.
Gini free.
Kwa sell to buy labda mmoja wao hawa front 3 atatolewa kafara
Salah £100m
Mane £80m
Firmino £30m.
Come on Edwards tu sapraizi na usajili wa kueleweka this June 2021.
YNWA
Hata siamini gafla tumekua wapiga ramli ety dah.!Ramli kama ramli...
Hivi tumefika hapa jamaa.
YNWA
Next season ita depend na squad depth ndugu.Hata siamini gafla tumekua wapiga ramli ety dah.!
RESHUFFLE TU ITATUONDOLEA RAMLI NEXT SEASON.
YNWA.
Mkuu TIMING akisepa huyu tumchukue nani.Aende tu
Duuh sasa hapo tutakua hata ubingwa wa 2021 2022 tuusahau kabisa.Yani nyie hata Europa mnaweza mkakosa.
Ina maana nyie kwa Timo £45 vile na Kai £70 vile mlipigwa ela ndugu ama ni vipi.. Kama kweli hizo ndio bei unasema wauzwe hawa wachezaji ambao ni washindi wa makombe ya heshima na wenye uzoefu wa kutosha na sio wanafunzi kama Kai na Timo.Mane labda 30 app Tena kwa upendeleo.
Salaa 45 mwisho. Labda aende China huko kwa iyo 100
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ni kazi ya kloppMkuu TIMING akisepa huyu tumchukue nani.
Binafsi ningependa Viscious wa Real Madrid zipo tetesi kwa kusaka pesa ya kumnunua Mbappe upo uwezekano Real Madrid wakamuuza.
YNWA
Westham akipoteza ni point 3 au 4, labda mshinde mechi zote kwa mabao mengi ili kupata GD kubwa, ile defence ya akina Kabak na Philips leo wamebana kesho wamepanua kweli bado mna ndoto na UEFA, piganieni Europa kwa sababu hata huko bado mnayo kazi kubwaChelsea
vs brighton H
vs westham A
vs fulham H
vs man city A
vs Arsenal H
vs Leicester H
vs Astonvila A
Liverpool
vs Leeds A
vs Newcastle H
vs Man utd A
vs Soton H
vs Westbrom A
vs burnley A
vs Palace H
Westham
vs Newcastle A
vs Chelsea H
vs Burnley A
vs Everton H
vs Brighton A
vs Westbrom A
vs soton H
Leicester
vs westbrom H
vs Crystalpalace H
vs Soton A
vs Newcastle H
vs Man utd A
vs Chelsea A
vs Spurs H
Kops, mnaonaje chances zetu kuwepo CL next season? tutaweza kurecover gap ya 3 pts na Westham?
NB/ kwa hizi run-in nimesham-exclude Leicester,
Absolutely to the point nothing less of the this outcome is acceptable.Ni kazi ya klopp
Lakini kwa sasa the whole front three inahitaji serious rethinking, we are predictable
Liverpool haijawahi kukosa washambuliaji... Na dunia haijawahi kukosa washambuliaji, salah alikuja Kama trialist tu na he proved himself
So the same itakua kwa wengine... Mane is another shocker and I think a shift in position and formation may help him, na labda sio ndsni ya timu
Middle style ya Thiago ni nzuri kea playstation, sio mtiti wa EPL
Gini is leaving, milner is aging, henderson is aging, ... Another area ya kuangalia
Not worried much on defence because kabak, vvd, nat, matip are a good numbers
I would move Gomez to right because of pace, shots, and defensive experiences and push trent kwenye middle
Karibu Sana mkuuBenzemaaaaaaa!!!!
Tuko hapa leo ndugu zanguni.
Shukran mkuuRasimi mnatoka UCL leo