Tena wakirudi fujo lao wanavyojifanya Wanaipenda Timu utadhani sio wanaokimbia Timu ikiboronga.
Halisi bado wana exist??Tena wakirudi fujo lao wanavyojifanya Wanaipenda Timu utadhani sio wanaokimbia Timu ikiboronga.
Pamoja na udobwedo wa salah ila mane kwa sasa too much..Nimeangalia game dk za mwishoni naona mane anakosa bonge la goli aiseeeee
Reshuffle inahitajika mapema tu.Tumeshinda Ila mbele wafungaji wetu wamekuwa butu Sana..
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Subiri itokee katolewa madrid halfu tushinde ya leeds... hehe hakika watarudiIvi zile Kenge za Halisi zimezama vichaka vya wapi! [emoji848]
Is there any single player who is out shining the others this season in our squad?Pamoja na udobwedo wa salah ila mane kwa sasa too much..
Anacheza kifaza mno.
Ujue Mane hawezi kudribble hata kujipita yeye mwenyewe. Aisee mane has to wake up otherwiae atakua na mwisho ambao hatukuutarajia
Najua jinsi unamtetea lakini angalia other players atleast they are clicking compare to him.Is there any single player who is out shining the others this season in our squad?
The players has been very down performance wise. Leo utasema Mane kesho Allison ama TAA etc hivyo msimu huu tutulie uishe na tujipange sokoni kwa ajili ya msimu mpya.
Mane tangu apone Corona hajawa yule Mane tunaemjua kama Mane. He is not clicking the right gears.
Mane is 29yrs now he ain't getting young aisee...
YNWA
Pamoja na udobwedo wa salah ila mane kwa sasa too much..
Anacheza kifaza mno.
Ujue Mane hawezi kudribble hata kujipita yeye mwenyewe. Aisee mane has to wake up otherwiae atakua na mwisho ambao hatukuutarajia
Mkuu Captain Justine niambie mpaka sasa unadhani mchezaji yupi ana deserve kua mchezaji bora wa msimu huu Liverpool.Najua jinsi unamtetea lakini angalia other players atleast they are clicking compare to him.
All in all tupate top four.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nn mkuu.?Nilitaka kuchangia mengi kwenye hii post yako lakini nilipoisoma na kufika hapo "Hawezi Kudribble Hata Kujipita Yeye Mwenyewe" ilinibidi niishie hapo na kucheka tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nampa Fabinho.Mkuu Captain Justine niambie mpaka sasa unadhani mchezaji yupi ana deserve kua mchezaji bora wa msimu huu Liverpool.
Binafsi mchezaji pekee kwa mbali naona angalau anafaa uchezaji bora msimu huu klabuni ni Fabinho tu.
Hawa wengine ndugu wajitazame upya msimu ujao kwani msimu huu wamekua sio kabisa regardless ya kua na beki majeruhi they are poor especially when playing the mediocre teams za below 10.
Flop of the season kwangu has to be Keita, Ox hawa they are playing without purpose kabisa. Its like they have given up kubakia Anfield.
YNWA