Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

City hawaendi kushinda Ujerumani

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Wewe utashinda hapo anfield ?

Au madrid wanakuja kukusukumia ukuni mwingine kwa nyuma ...


Sisi man city saizi yetu ni buyern tu ,hao dortmund tunaenda kuwapelekea moto huko huko germany ...


Najua ndio mwisho wenu kuku nyie

Fa out

Carabao out

Epl out

Uefa out

Out of top four ..

Lazima uchanganyikiwe kuku wewe ...
 
Hahaha kabisa ila Mkuu kwangu Keita hua nikimuona tu naona tumepigwaaaa..

Ki ukweli tupo vimbaya na jana Klopp alitakiwa ajue ni make or break.

Matokeo ya Arsenal naona yalitusahaulisha hali yetu halisi msimu huu.

YNWA
 
2020 2021 Liverpool season in summary.

You have nailed it's man.

Poor planning with the squad depth has made us this toothless man.

We got no one to blame.

We lack creativity.

YNWA
 
Enewey! Hii Timu itarudi kuwa sawa na Real wawe makini na 2nd Leg tuna goli la ugenini kule.
Same tu Man City kuna uwezekano wa kulijutia goli walilofungwa na Dortmund jana.
mna goli la ugenini sawa, swali Ni je mtaweza kutoa clean sheet hiyo 2nd leg?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hizi zarau sasa. Kwamba kuku atasukumiziwa ukuni tena
 
Enewey! Hii Timu itarudi kuwa sawa na Real wawe makini na 2nd Leg tuna goli la ugenini kule.
Same tu Man City kuna uwezekano wa kulijutia goli walilofungwa na Dortmund jana.
Faida ya goli la ugenini ni ndogo sana, Itabidi Liverpool ishinde 2-0 au difference ya goli tatu ikiwa Real Madrid atafunga goli yaani mshinde 4-1, 5-2 na kuendelea. Kwa timu hii ya akina Kabak na Philips nyuma sioni wa kumzuia Bensema, Junior wasifunge magoli kwenye second leg
 

Hawa wanajitekenya na cheka wenyewe. Ngoja siku hiyo wafungwe utaona watakavyomvaa Keita🤪🤪🤪 unazani keita anacheza yeye mwenyewe uwanjani
 

Hapa hujazungumzia mpira bali umezungumzia hisia tu! Kwenye mpira hakuna kitu kama hicho.
 
Hawa PSG huanzaga vizuri lakini sijui hukumbwa na nini wakaishia kuangukia pua! Anyway huenda Poch mwaka huu nayeye akaingia kwenye Vitabu vya kumbukumbu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…