Werner wa chelsea na origi ni sawa tu.....kwa hiyo nadhan unajua nan atakaa bench hapoHivi Jota na Werner wangekuwa timu moja ya taifa nani angemuweka mwenzake benchi? Jota anabebwa na viungo tu, Werner ni fighting spirit ndo maana ni WCP.[emoji3][emoji3]
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahaha wewe Jota kila siku ya wiki.Hivi Jota na Werner wangekuwa timu moja ya taifa nani angemuweka mwenzake benchi? Jota anabebwa na viungo tu, Werner ni fighting spirit ndo maana ni WCP.[emoji3][emoji3]
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Halisi tushikamane ktk kipindi hiki kigumu cha dhiki kuu
Hivi updates za akina VVD na Gomez kupata huduma yao zikoje, yupo anaweza kurejea April hii?
Timu imeshapumzika vya kutosha hatutaki sababu za kuchoka kwani kina City wanacheza FA sisi tulikuwa tumerelax tu nakula Bata.
Hawa wawili Klopp anawategemea pre season na si vinginevyo.Hivi updates za akina VVD na Gomez kupata huduma yao zikoje, yupo anaweza kurejea April hii?
[emoji23][emoji23][emoji23]ramos muhun sana huyu jamaa kuna movie inaitwa den of thieves kuna copy yake kule uhuni tu
Pamoja Sana.Nawasalimu ndugu zangu na kops wenzangu. Amani iwe nanyi.