Top four ya moto sana msimu huu
1.Man City
2. Manchester Utd
3.Chelsea
4.Spurs/Leicester city/US and/or other midtable or bottom table club
Kimbembe kipo , Europa inanukia nukia hivi
Nakumbuka hii fainali nilikuwa form 2 na,mechi hii ndio iliyofanya niwe mshabiki wa Liverpool baada ya kuwa wenzangu wote walikuwa Man u wakiwa upande wa AC MilaniWaliotea tu kama sisi tulivyomuotea AC MILAN mwaka 2005.
Hapa kumuotea AC MILAN kwa wale walioisoma kwenye Magazeti hii Fainali ya mwaka 2005 najuwa wengi watanipingi lakini kwamimi niliyepigwa na Mvua Kibanda umiza kufuatilia hii game basi nasimamia kuwa hatukuwa na uwezo kimpira wa kumfunga AC MILAN but tuliotea na tukafanikiwa lakini ndani ya dakika 120 tulibana Kende mwanzo mwisho.
Haha haaa jamaa unanini lakini?All the best Gini.
Now Klopp bring us Yves.
Nimesoma gossip eti Real Madrid wanatoa £35m kwa Keita kama kweli aisee Liverpool wachukue hizo ela chap.
YNWA
Rhian Brewster exit from Liverpool criticised by Sheffield United owner
#LFC
Rhian Brewster's Liverpool exit criticised by Sheffield United owner
The former Reds striker left Anfield last summer in a club record deal for Sheffield United, but the move has been criticised by the club's owner Prince Abdullaht.co
Yani tuliaminishwa pumba kweli naamini kloop kuna watu anawategemea mpaka hapa tulipo wakiyumba tu ndo haya yanayo tupata
Hahaha hapa ni Rebuilding Kaka hatuangalii sura wala nini...Haha haaa jamaa unanini lakini?
Gin Glujic tosha mbona
miaka 30 tena[emoji856]
kumleta Fekir liverpool itakuwa ni kulamba matapishi, kwanini hamkumsajili wakati alifanya hadi vipimo?Hahaha hapa ni Rebuilding Kaka hatuangalii sura wala nini...
Grujic ni raw talent bado sidhani hata huko Porto wana mpango wa kumsajili mazima.
Hapa ndugu yangu tunahitaji new dimension na ideas pale kati na Yves ni tosha sana..
Keita asepe aje Fekir nimeona mahala Klopp ana mpango wa kumfuata pale Betis.
YNWA
Unasemaa????
Theory za kufeli ule usajili zipo nyingi sana pazuri ni kwamba dogo ana miaka 27 na kiwango anachoonyesha La Liga kinafurahisha ndio maana the Gunners, Barcelona na Liverpool wote wanamtupia macho.kumleta Fekir liverpool itakuwa ni kulamba matapishi, kwanini hamkumsajili wakati alifanya hadi vipimo?
Liverpool forward Jota fired the European champions ahead with an 11th-minute header from a superb Bernardo Silva assist and added another in the 36th as he glanced home Cedric Soares' cross from the right.
[emoji28]Maneno kama haya ndiyo yanayomfanya Timo Werner asijulikane anacheza Timu ya Taifa ya Nchi gani maneke kila mechi anaishia kuwa Mpenzi Mtazamaji.
Werner ana maasist ya kutosha tu apo national team.Unasemaa????
Timo werner anafanyaje sasa kama jota anarukaruka??
Hivi Jota na Werner wangekuwa timu moja ya taifa nani angemuweka mwenzake benchi? Jota anabebwa na viungo tu, Werner ni fighting spirit ndo maana ni WCP.[emoji3][emoji3]Liverpool forward Jota fired the European champions ahead with an 11th-minute header from a superb Bernardo Silva assist and added another in the 36th as he glanced home Cedric Soares' cross from the right.
Jitahidi kua na maneno ya akiba. Jana Jota katupia mbili safiiiii.
YNWA
Umeona ma assist anayotowa Timo wewe ..unayajua ma assist wewe?Maneno kama haya ndiyo yanayomfanya Timo Werner asijulikane anacheza Timu ya Taifa ya Nchi gani maneke kila mechi anaishia kuwa Mpenzi Mtazamaji.