ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Klopp out!!We can blame FSG as much as we can but tukirudi nyuma ni Klopp mwenyewe ndiye aliyewaaminisha kuwa he can turn things around without spending big that's why FSG hawakuwa na mpango wa kusajili Top Players, Now everything has fallen apart tunaanza kulialia na VVD na JOTA.
So, kwa hili Klopp hakwepi lawama kwa kuwalisha ujinga FSG na kutusababishia anguko kubwa kama hili. Ujinga huu haukuwakumba FSG tu hata Washabiki uliwakumba kwa kuamini Salah, Mane, Firmino, Hendo, Gini na Milner kuwa watacheza Liverpool maisha wakiwa na ubora uleule mpaka kujidanganya kuwa tusisajili Forward wala Midfielder ili tusiwasumbue waliopo na wakaamini kuwa eti hakuna Mchezaji yoyote Mkubwa atakayekuja Liverpool kwa kuwaogopa Salah, Mane na Firmino huku wakisahau kuwa kuna Wachezaji walienda Real Madrid ikiwa na Ronaldo, Benzema na Bale na wengine walienda Barcelona yenye Messi na Etoo.
Mhe. King Ngwaba, with due respect, 4-3-3 sio mbinu bali mpangilio tu wa wachezaji uwanjani. PEP anatumia daima hiyo formation na kupata matokeo. Formation inaendana na wachezaji walioko kwenye form. Tatizo dogo la Liver ni Klop kuwatoa Fabinho na Henderson pale katikati na kuwapeleka kwenye CB. Ukabaji mkubwa uko kwenye midfield na hao wanatakiwa kuwalinda mabeki na kipa. So mimi naona hao wakirudi kwenye nafasi zao na mabeki wale wageni wakazoea EPL mambo sio mabaya sanaJambo muhimu zaidi Klopp ajipange kwa Mikakati imara ya usajili msimu ujao then ajipange na mbinu mpya za ushindi na sio zile za 4-3-3
Isije kuwa kinyume mkuu maana liverpool siku hizi daaaaaah hadi aibu [emoji1]Jana
Juventus tayari out
Sevilla tayari out
Leo
Barcelona will be out
RB Leipzig will be out
Anfield shamba la bibi lileJana
Juventus tayari out
Sevilla tayari out
Leo
Barcelona will be out
RB Leipzig will be out
Budapest is the locationAnfield shamba la bibi lile
Mmeona uwanja wenu una gundu mmeamua kung'ang'ania huko Hungary?Budapest is the location
Hapo kwa Juventus weka capital letter kabisa.Jana
Juventus tayari out
Sevilla tayari out
Leo
Barcelona will be out
RB Leipzig will be out
LIVERPOOL TEAM NEWS
Team to face RB Leipzig: Alisson, Alexander-Arnold, Phillips, Kabak, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Thiago, Mane, Salah, Jota.
Subs: Adrian H. Davies, Milner, Keita, Oxlade-Chamberlain, Jones, Tsimikas, Shaqiri, Origi, D. Davies. R. Williams, N. Williams.
Come on Reds give us some good moments.
YNWA
Minor injury hata mech iliyopita pia hakuwepo kwa sababu hiyohiyoMan where is Firmino? What reasons he is out for ?
Kama alivyojibu MR BINGO dogo Bobby ni majeruhi.Man where is Firmino? What reasons he is out for ?