Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akil ,mid table timu ...Aston villa ana Champions 1 Manchester city anazo ngapi........Kama Pep ni Mwanaume kweli Akaipe Manchester city UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwanza tuone jeuri yake.
Timu hata Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE haijawahi kucheza unajifananisha na Bayern kweli wewe ni Mzima kichwani Acha punyeto Mkuu inakupeleka pabaya.Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akil ,mid table timu ...
Level zangu ni buyern huko ..
Timu hata top four haiwezi kumaliza ,..
Samahan mkuu bayern ni Level zako kwenye nini?Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akil ,mid table timu ...
Level zangu ni buyern huko ..
Timu hata top four haiwezi kumaliza ,..
Timu ipo nafasi ya 6 ,unapata wapi ujasili Wa kubishana na wanaume tunaongoza league ...Timu hata Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE haijawahi kucheza unajifananisha na Bayern kweli wewe ni Mzima kichwani Acha punyeto Mkuu inakupeleka pabaya.
NONSENSE.......Endelea kujichua tu ndio unachokiweza.Timu ipo nafasi ya 6 ,unapata wapi ujasili Wa kubishana na wanaume tunaongoza league ...
Huna uhakika na top four ,kabishane na Southampton, wolves ndio level zako kwa sasa ...
Timu ipo nafasi ya 6 ,unapata wapi ujasili Wa kubishana na wanaume tunaongoza league ...
Huna uhakika na top four ,kabishane na Southampton, wolves ndio level zako kwa sasa ...
Samahan mkuu bayern ni Level zako kwenye nini?
Hivi Jota na Fabihno leo si tutapata huduma yao?
Hahahahahahahaha hahahahahahahahahahahahahahahahTimu hata Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE haijawahi kucheza unajifananisha na Bayern kweli wewe ni Mzima kichwani Acha punyeto Mkuu inakupeleka pabaya.
Naona wapo wamerejea mkuu mwingine bench mwingine anaanzaTusubiri baada ya dakika 90 tu hayo mambo ya kina Fabinho na Jota bora tuyaache
km unatumia Twitter tafuta BRGoals hawa jamaa warusha game zote japo hazipo clear kiviileMwenye live streaming anitumie hapa niangalie hata kipindi kimoja tu
Okay ngoja nijaribukm unatumia Twitter tafuta BRGoals hawa jamaa warusha game zote japo hazipo clear kiviile