Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Top 4 ni ya man City, Leicester, Everton na Westham nyie pambaneni kupata nafasi ya 10

Liverpool 0-2 Everton

Nakumbusha ni anfield hapo


Sikh hizi zile kauli za "this is anfield" wanaongea walevi ..

Kauli za "anfield hatoki " naona zimepotea kabisa humu.!

Saizi wanaugulia wao na klop ..!
Duh!! 2 kavu. Hii sio haki bora waamie tu hapa kwenye ligi yetu ya 80M
 
Tatizo la timu za EPL wakigundua penye udhaifu wanakomalia hapo hapo. Utashangaa mechi zinazofuata za Shefield UNited na Fulam watakomalia hapo hapo kwa Kabak, Henderson ndio huyo naye kaumia, kila timu sasa itajichukulia point hapo
 
Anfield ni sawa na nyumba ya malaya halafu wachezaji na kocha wao ndo malaya wenyewe sasa
 
Kila anayekuja anafungua pakti ya condom tuu, style mtaamua wenyewe kama ni mauno feni bovu au simama juu ya dari uidondokee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…