Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Bwana wee kesho itakua full cracker...Ukijumlisha na ile ya champions League it's 5 games ( 1 D, 4 L , 0 W) kesho asipoondoa gundu basi tena
Chonde chonde mkubwa mwenzangu kesho usiniangushe.
Wakati tukiwa na jambo tukisema leo Manchester United mfanye kweli kumzima Pep hua mnasema kila mmoja ashinde mechi zake.. Nadhani itakua mwendo huo huo ndugu..Chonde chonde mkubwa mwenzangu kesho usiniangushe.
Kesho tuko na man city bega kwa bega.Chonde chonde mkubwa mwenzangu kesho usiniangushe.
Ujinga huo.
Unaunguza godoro kwa kumkomoa kunguni.
Yah tupige vita hichi kirusi kwa pamoja..Ndiyo ndiyo tupo pamoja kwa hili
Everton 3 Manchester United 3..
Manchester United defending set pieces is horrible actually its might be the worst in the league...
Dropping points in injury time is damn harsh to take..
Now we its all systems go kesho as we aim to reclaim our top spot.. We take each game at a time..
We dethrone Leicester at 3rd then we sweep Manchester United at 2nd and if luck is by ourside we give a shot for the 1st position haha dreams come true..
YNWA
Minamino katupia goli huko
Kesho tunashinda bro wasi wasi ondoa.
Sisi Livakuku HALISI kwa pamoja tunaendelea kuwasha udi na kujifukazia ubani, ushindi ni lazima game ya kesho.
Nani asie ya ogopa majogoo?
Upo sahihi ndugu shida ni pale tunapigika Anfield ama draw na hivi vitamu ambavyo ni green pastures ya kugawa pointi kwa wengine...Mkuu hao Manyumbu nilichokiona kwenye raundi ya pili hii hawana huwezo wa kuchukua point 3, zile goli 9 ilikuwa ile kadi iliwasaidia.
Me nilishaliona hilo,namna point walivyochukua raundi ya kwanza ilikuwa inatiashaka sana penalty hata azieleweki.
Na walivyo Manyumbu hawako vizuri kwenye kuzuia,soon tutawaacha hawatakuwa na huwezo wakuchukua point 3 zaidi ya sare au labda timu pinzani wacheze pungufu. Mechi ijayo ya Manyumbu na Wes bro itakuwa sare au wanakufa hao Manyumbu.
Tunachotakiwa kuchukua point 3 kwa kila mechi me naamini tunarudi kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa.