Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool players rating vs Westham :

Alisson (6)
Alexander-Arnold (7)
Henderson (7),
Phillips (7),
Robertson (6),
Milner (6), Thiago (7)
Wijnaldum (7),
Salah (9),
Shaqiri (7),
Origi (6).

Subs: Jones (7), Firmino (7), Oxlade-Chamberlain (7)

Man of the Match: Mohamed Salah

YNWA
 
Sio anaweza bali atachukuwa tu Golden boot kwani tumecheza michezo 5 bila ya ushindi wala yeye kufunga goli lakini still ni Top GoalScorer wa EPL

Mkuu raundi ya pili kawaida inakuwaga ngumu sana msimu uliopita Baada ya kuanza raundi ya 2,vardy alicheza mechi karibia 7 bila kufunga goli kilicho mbeba alifunga magoli mengi raundi ya kwanza.kwa hilo gap la salah hapo,hakuna wakumkuta na kane mwenyewe kaumia.

Hakuna anaefunga magoli mengi kwenye raundi ya pili kuzidi raundi ya kwanza.
 

Robertson mechi ya pili hiii ha click vizuri
Why kocha hampumzishi!?labda uchovu..
 
Hivi hizi rating huwa zinatokana na nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…