Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kama umeelewa point yetu.
Sio kosa langu ni kosa la mwalim.
Ninacho jua humu mjengoni kwenu kuna makundi mawili, HALISI pamoja Pep.

Nilicho elewa mimi kwenye ile comment yako nikua unataka kuhusisha mambo ya makundi kwenye mjengo wetu.

Ikiwa nimetombesha maneno zimia kwenye gia.
 

Hivi post yako nimeielewa kiasi ya kwamba sitaki kukujibu wala kukuuliza chochote.
Imejitosheleza.
 
Good decision kwa Klopp,If you don't perform ni kukaa Benchi muda wa kucheka na Nyani umeisha na haya maamuzi Klopp alichelewa kufanya.
 

Okay, point yetu ilikuwa aina ya ukosoaji linapokuja swala la kutofautiana maoni.

Kuhusu makundi: unaweza kutaja members unaowajua ambao wako kwenye kundi la HALISI wasiopungua 3?
 
Hakuna mwenye mguu was kufunga kama salah

Liverpool nzimaaa
Hata akiwa off from acheze tu kwa sababu tu ana mguu wa kumfunga,na hii ndio imesababisha mechi 4 zilizopita hata kufunga goli tumeshindwa kwa kucheza kwa mazoea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…