Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,594
Wewe si umejiunga na praise timu ya Liverpool HALISI na hata mwezi hujafikisha unarudi kwa akina Ngwaba
Militao mbioni kuelekea Tottenham lol na tena kwa mkopo..
Huyu dogo Edwards angepambana kumnasa angetusaidia mno pale nyuma CB hata kama mkopo wa muda mfupi..
YNWA
Mkuu sisi liverpool KHALISI tu uhakika timu yetu haita eba kombe maana tuna kanuksi fulani hivi ..Liverpool HALISI tuendelee kuwa na team,tarehe 17 tukubali kila aina ya matokeo,tusiwe na matokeo yetu mfukono!
Tuheshimu maamuzi ya Klopp na tuendelee kuwaunga mkono wachezaji
Unakubali kubali tu .Liverpool HALISI tuendelee kuwa na team,tarehe 17 tukubali kila aina ya matokeo,tusiwe na matokeo yetu mfukono!
Tuheshimu maamuzi ya Klopp na tuendelee kuwaunga mkono wachezaji
Inatakiwa mkung'utwe ili murudi kwenye nafasi yenu ya khalisi..Tarehe 14 leo.
Nawakumbusheni tu.
Team ipo vyema ila ni bora huyo Salah apangwe hapo mbele tu maana huko pembeni hatimizi majukum yake mpaka tunamlaumu dogo jamaa yupo afta gol vile anajua kufunga Boby arudi kwa Shaq na Shaq awe pembeni natumai itakua poa zaidi
Yeah hawa jamaa hua si waumini wa quick fix aisee ila mazingira sasa sio rafiki kwetu muda wa kusubiri Juni hatuna labda wawe wamekumbali ubingwa huu kuwaachia wengine...Edwards na kikundi chake wanaweza wakawa awana mpango wa kusajili this Jan
End of this January ndio anarudiJota vipi hali yake, anarudi lini wakuu?
Ndoto za MCHANA Mara nyingi zinakuwa za majini na mashetani...ENDELEA KUOTA TU...Narudia tena, "mpaka mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu".
Ligi hii tuna maliza msimamo ukiwa hivi :
Manchester United
Evaton
Liverpool
Chelsea
Wakuu kile kikundi cha Manyumbu wa Edwadi
Wanasemaje wanachukua au wameacha kulonga
. Kwamba naogopa nini sasaAcha woga
Kwa vipindi kadhaa tumezoea kuona Wachezaji Bora na Kocha Bora wa kila Mwezi wa EPL wanatoka Liverpool! But now takriban mwaka mmoja sasa hatutoi Kocha bora wala Mchezaji bora! Kuna la kutafakari hapa.