433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.Klopp need to use the full squad and not the same lineup every game it's not working.
Big Shaq need to start.
Umeona first half ya leo?
If we want to sustain our good years, some players needs to get moved on au kupunguziwa minutes kwenye first team.
Kadri siku zinavyoenda, majeruhi yametuonesha tena kwamba Hendo ni famba.
Huoni huyo dada amepiga picha na Klopp, VVD na Mane. Mbona hujasema VVD kaoaHuyu Mane mshamba sana ..anaoa mzungu??
Ww unajua soka kuliko Klopp kuliko Southgate?
Watz hovyo sana,tunajua kila kitu
Heri ya Mwaka Mpya Kwako Mwana Liverpool HALISI
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.Heri na wewe pia!
Nakuomba na kukushauri njoo Liverpool HALISI achana na hao wakora wanao ipenda team ikiwa inashinda tu
Njoo huku tujenge mshikamano,tunakuhitaji!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Don Clericuzio Liverpool Halisi wanakuhitaji,wanahitaji mshikamano wako HAHAHAHAHAHAHAHAH
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Don Clericuzio Liverpool Halisi wanakuhitaji,wanahitaji mshikamano wako HAHAHAHAHAHAHAHAH
Kwa hiyo wewe hutaki kujiunga na sisi wana HALISI?
Sasa utaenda kujua Soccer management na kupata ushindi uwanjani kutokana na kushikamana kwa maombi.
We nawe ka falaTuache porojo
Magoli ya Salah,Mne na Wilj kipindi cha pili ni ya uwezo binafsi,hakuna chichote Thiago au Shaq wamefanya kuyatengeneza!
Capt Hendo katolewa kwa precaution tu sio kama kacheza vibaya
Villa angekufa tu hata wao walijua ni matter of time tu
Liverpool HALISI tuendelee kuwa pamoja na team
Nadhani Ni mda wa Klop kuwapa Mechi nyingi Hawa wachezaji wake Shaqiri Ox_Chambarlin Thiago Keita Minamino Fabinho
Kuna tofauti kubwa Sana Kati yao na kina Salah Firmino na Mane
Ubunifu kujituma kunaanza kuhitajika Sasa cyo uzoefu Tena
LCF 4LIFE
#YNWA
. Itakuwa mkuuKuna issue ya Consistency ndugu
Achana naye kamjamaa huwa hakajielewi kabisaWe nawe ka fala
Mkuu manure pale Anfield anakufa tu kwa formation yoyote ile433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.
Leo, alivyoingia Shaqiri, tuli-switch kwenda 4231, and ilitusaidia sana, unlike dhidi ya Southampton, tulibaki na 433 hata Shaqiri alivyoingia ndiyo hakuwa na impact sana, but naona Klopp decided to go full 4231 kwasababu aliona ni dhidi ya Kids, ile counter ya goal lao nadhani uliona jinsi Rhys alivyokuwa slow, so 4231 against good & pacey attackers ni suicide, sijui atakuja na formation gani against Utd, but isiwe 433, na 4141 inaweza ikawa nzuri zaidi.
But, kama tunataka kushinda, we need to change the system & players.