Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpewe tuta nyie viazi?
Endeleeni kukomaa, maana Manchester United huyooo keshawasha and cater.

Swala la kuongoza ligi hata Arsenal alivyoongoza ligi na wao walisema watachukua ubingwa,kwa hiyo Manyumbu kuongoza ligi sioni cha ajabu hapo,na yeye atashuka atakuja man city.

Inaonekana umeanza kuangalia mpira hivi karibuni.
 
Sisi Kama livapool tumeridhika na matokeo kabisa mpira ulikua fair Sana nakiri uwezo wetu ni mdogo mnoo- msemaji wa Liverpool AFRICA MASHARIKI
 
Enhee tulitegea kusikia lugha ngeni humu ndani.
 
Swala la kuongoza ligi hata Arsenal alivyoongoza ligi na wao walisema watachukua ubingwa,kwa hiyo Manyumbu kuongoza ligi sioni cha ajabu hapo,na yeye atashuka atakuja man city.

Inaonekana umeanza kuangalia mpira hivi karibuni.
Nimezaliwa 2007, shikamooooooo babu.
 
Rudderless. Awful. Woeful.

It's only Mane who was trying to make something happen.

Anyways, let's dust ourselves up and go again. The league is not even halfway. I haven't lost hope. Yet.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…