Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Takumi bado hajafikia livo ya Boby mbovu labda apangwe kwa lengo lakumtishia nyau Boby
Ishu hapa sio levo mbali tumetoa sare nne kwa hawa jamaa wakiwepo uwanjani wa siku zote...

Kama ambavyo Selhurst Park Klopp alimuacha Salah benchi na Takumi akafunga na leo vile vile inawezekana..

Kwenye mpira ni kujaribu kinachoweza kuleta pointi ndugu hakuna uhakia its all about gambling at times na hawa ma amateur uliona gemu ya Barcelona bila Salah pia Klopp gambled na Origi its paid big time hivyo lets try our luck na ku drop mmoja pale mbele sio lazima awe Bobby...

YNWA
 
Leo saa tano Kuna ndoa takatifu tumekuja kumpamba mrembo
 
Nakuelewa sana ndomn nkatumia neno kumtishia nyau akishtuka ndo imeisha hiyooo

Kujaribu ni muhimu mpira nao unazali japo kuna watu hawa amini
 
[emoji23][emoji23]Maneno mengi ya nini kaka?


Wafunge kwanza vijana wa Ralph Hassenhutl ndo tuongee
 
Nakuelewa sana ndomn nkatumia neno kumtishia nyau akishtuka ndo imeisha hiyooo

Kujaribu ni muhimu mpira nao unazali japo kuna watu hawa amini
Nimekusoma Mkuu Manga ML...

Tuna kikosi kiduchu on the field ila on paper tunaona ni kikosi kikubwa japo MF ndio pako overloaded haswa.. hatuna like for like loaded bench labda uniambia Fabby amekua like for like VVD ila kwingine lol ni the system carrying the day... Neco Williams wont give what TAA offers nk...

Tumetoka mbali kipesa na kimatokeo kuweza kua na benchi lilosheheni ni uwekezaji mwingine kabisa nadhani baada ya Klopp kuona FSG huo uwezo hawana akaamua kukomaa na usajili wa academy kids dirisha hili kushanasa wawili na dirisha lilopita nadhani alinasa watatu hivi...

Klopp akitazama dogo Harvey Elliot anavyokiwasha ndio kabisaa atazidi kukomaa na vitoto huku akitupia macho kupata accomplished mmoja...

YNWA
 
Ralph Hasenhuttl huyu jamaa mbishi balaa..

Anachokiamini ndio hicho hicho wala humwambii kitu...

Ana msimamo kama Marcelo Beisra..

Great gaffers kuwepo EPL..

YNWA
Huyu kocha namkubali sana.

Kazi mnayo leo..wao wakipata 1 point watafurahi.

Ward Prawse naye kwa set pieces ni hatari

Yule dogo aliyeingia juzi baada ya Matip kuumia kama akiaanza leo,Ings/Che Adams watawasumbua sana.
 
Leo Referee ni Mtoto wa Stan Collymore
VAR in charge yupo mtoto wa Jason McAteer

Hapo lazima Soton afe tu! Yani iwe mvua liwe jua tunamchinjia baharini.
 
Hawa Soton huwa tunawafunga, sema haiwagi easly win, ukiangalia fom yetu na vile Soton wana watu mbele kule Walcot na Ings wa kutuletea hatari, itakua mechi ngumu inayopaswa kutumia chance zinazopatikana.

FT
southampton 2 Liverpool 3
 
Leo Referee ni Mtoto wa Stan Collymore
VAR in charge yupo mtoto wa Jason McAteer

Hapo lazima Soton afe tu! Yani iwe mvua liwe jua tunamchinjia baharini.
Mechi itakuwa ni ngumu sana ukizingatia liverpool kushinda away mechi za Jumatatu huwa ni nadura sana, naweza kutabili sare tena katika mechi ya leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…